Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
Tuliviua viwanda vyetu vilivyojengwa enzi za Mwalimu kwa UBADHIRIFU na UFISADI na sio kwa kununua bidhaa za nje kama anavyosema Mama Nagu ambaye nilitarajia anafahamu zaidi jinsi viwanda vyetu vilivyofilisika kwani kabla ya kuwa mwanasiasa alikuwa mkurugenzi kwenye kiwanda kimojawapo kule Morogoro ambacho aliacha kinakufa. Watanzania walijivunia sana vitenge na khanga za Urafiki na Mwatex. Bia ya safari ilipendwa na kunyweka sana, kahawa na chai ya TTB haikuwa na mpinzani.....
There you are! History and facts are always good! We said 'welcome globalization' today we are crying. This situation is irreversible; the only way is to have competent service, manufacture, and heavy and high-tech industries. This does not come by blah-blah we have to have brains and committed leaders.