Nagu: We're killing our industries by buying foreign products | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nagu: We're killing our industries by buying foreign products

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MwanaFalsafa1, Jun 9, 2009.

 1. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  The Minister for Industries, Trade and Marketing, Dr Mary Nagu has called upon Tanzanians to value local agricultural and mineral products to boost the country’s economy.

  Dr Nagu made the call over the weekend during the opening of the 7th exhibition for small and medium entrepreneurs held here.

  She said that if people would change their mindset and start buying local products the economy would grow and more job opportunities would be created.

  The minister said a good number of local business people have been travelling to Asia and elsewhere to buy clothes for the local market.

  “Many claim that our products are substandard and hence they import from China, Taiwani and elsewhere.

  This is wrong because we are killing our industries and denying the government its revenue,” she said.

  Dr Nagu said Tanzanian products were better than most of the imported ones.

  “The truth is that our agricultural and mining products are of high quality and they meet international standards,” she said.

  “We are now building our economy. But this can only be done if Tanzanians value and buy local products,” the minister said.

  Dr Nagu said the government through Small Industry Development Organization (SIDO) would continue to provide loans to small scale entrepreneurs to enable them strengthen their businesses.

  Manyara Regional Commissioner, Henry Shekifu said SIDO had spent 380m/- to assist small scale entrepreneurs.
  The exhibition was organized by SIDO.

  THE GUARDIAN

  Kweli viwanda vyetu vina tosheleza mahitaji yetu? Bidhaa tu kama tooth pick na vibiriti napo utakuta zimejaa brand za kigeni, je tumeji tosheleza?Ni kweli bidhaa za Tanzania ni bora kuliko za nje? Je kama bidhaa za Tanzania zina ubora wa chini zaidi ninunue tu kwa sababu ni cha Kitanzania?Je bidhaa za Kitanzania zina fanyiwa marketing ya kutosha mpaka wananchi wajue zipo? Serikali ina fanyaje bidhaa za Kitanzania ziwe na ushindani badala ya kununua bidhaa za nje ambazo hata wao wenyewe huagiza?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Haya maneno ya Nagu nimekuwa nayasikia Tz kwa zaidi ya miaka 30 sasa!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ok, namuunga mkono. Haya ndiyo mambo ni sort of ,yeyote anayejiita kiongozi anatakiwa awe anayaongelea day in day out, sio mambo ya Busanda sijui kamati kuu sijui blah blah..these stuffs will not get us anywhere.

  Ninachokifikiria siku zote umaskini wa watz ni kukosekana kwa watu wanaoujua wapi pa kuvunja poverty vicious cycle. Kwa mawazo yangu mojawapo ambapo watz tunaweza vunja cycle ni ku-empower watu wa chini na wa kati. Wawe ni wafanyabiashara, wakulima, mafundi, etc ambao wanauza bidhaa au huduma ya namna yeyote ktk kuendesha maisha yao. Usipowafikia hawa takwimu serikali za ukuaji uchumi blah blah ni bure na useless.

  Hebu fikiria tungeokoa fedha ya kigeni kiasi gani kwa kutengeza bidhaa za kawaida kabisa za mazao ya kilimo kukidhi soko la ndani na hata nje? Au tungekuwa wapi iwapo wakulima wangeuza unga uliopakiwa vizuri badala ya mahindi? Tungeajiri watu wangapi kwa ku-process malighafi zetu.
   
 4. A

  Alpha JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Exactly. Same old crap, a lot of talk but what policies are in place to support Tanzanian industries and encourage Tanzanians to buy Tanzanian products.
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nakuunga mkono mkuu people must be empowered. After all the economy to benefit from people buying local products it means the buying power of the people must be increased. The more money a person has the more they will buy. Sasa Watanzania tulio wengi hata uwezo wa kununua mahitaji muhimu na ya lazima hatuna.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Wana taka kutumia excuse ya "uzalendo" kutuuzia bidhaa substandard. Mtu haangalia bidhaa ime toka wapi ana angalia ubora wake in terms of standard na pricing.
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  viongozi wenyewe walio madarakani ni mafisadi, angalia richmond, TPA, TRL, TPC, n.k. kwa mwendo huo hata nagu anacheza tu. Viongozi wa CCM ndo hawataki viwanda vya hapa nchini viwe na uwezo kwa sababu ya 10%.
   
 8. M

  Magezi JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kinacho takiwa kulinda viwanda vyetu ni kuongeza kodi kwenye imported goods lakini viwanda vyenyewe ni vya wahindi (Mafisadi) ambao wananunua raw materials kutoka kwao india. Ukisema unaongeza kodi for imports utasikia mafisadi wanaanza kupiga kelele eti mazingira ya uwekezaji ni magu. Kwa hiyo mimi nasema serikali bado hawako serious na wanayo yasema.

  Majuzi nilikuwa India lakini wao wameweka kodi kubwa sana kwenye magari kwa mfano yanayotoka nje ili wauze ya kwao lakini angalia sisi hata sukari tumeshindwa kuindeleza, kila siku ni kulia tu.....CCM ovyo!!!
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mazee you can't buy kama uko juu ya mawe jobless au una-earn peanut...thats reality no theories will hold there. Ninachotaka kusema ni kuwa usimamizi wa nchi hii tumeipa serikali ambayo inapaswa kuangalia wapi i-inject something kuweza kututoa kwenye cycle..Nimejaribu kuonesha kwamba unaweza ukafacilitate kwa mfano wakulima wa eneo X closely. Ukaona how they struggle ..nini wanakosa..kama ni masoko / mbolea / zana za kilimo zenyewe / uchaguaji wa mazao yanayolipa / kuhifadhi mazao / kuyapa thamani mazao etc..then you start from there ..una-inject something unawamonitor kuhakikisha wanakuwa sustained ..kisha unahamishia model kwenye location Y etc..unafanya hivyohivyo kwa viwanda vya kati na vidogo, wavuvi, wafanyabiashara na machinga, wafugaji etc..

  Thats how things should be done..tukiendelea kufanya vitu bila mipango na mikakati hata kupima mafanikio inakuwa kazi..achilia mbali kuyapata hayo mafanikio yenyewe.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  lol..Mazee hilo ndo tatizo..mwili bila kichwa..
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nili kubaliana na wewe mkuu. What I said haikuwa kupingana na hoja zako bali kuongezea tu. Thats why kwenye post nikasema nakubaliana na wewe. The way ulivyo jibu ni as if tuna pingana mkuu.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Duh..mazee mbona uko defensive ivo..nilikuwa naendelezea hoja tu mazee ..tunabadilishana mawazo hapa, hata kupingana inaruhusiwa vilevile mazee..

  Samahani kama hukunielewa..
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ukimuuliza mary nagu kwanini kiwanda cha Bora kilikuwa the best east africa miaka ya 80 na kwanini kiliuzwa ...hana majibu. Ukimuuliza tena Nagu kwa nini Urafiki ilifilisika na hakuna aliyeshitakiwa mpaka leo hadi wachina wakaja kuchukua kiwanda chao...hanajibu. Je, kama tukiweka ushuru mkubwa kwenye khanga za India na kwingineko na tukaimarisha uzalishaji huko mwatex, sunguratext(ilisha kufa) n.k. si bei itakuwa nzuri na waTZ watanunua bidhaa zao.
  Swali hapa ni je, nani leo anamiliki Mwatex, urafiki, n.k.? si mafisadi?(10%)

  Nchi zote ambazo nimetembelea unakuta sheria ni kali kiasi kwamba huna alternative ila ni kufuata lakini Tanzania kwa ujinga na njaa za akina chenge na wenzao....TZ ni kama hakuna sheria.

  NI lazima tujaribu utawala wa kijeshi!!!!
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nagu is a politician and she is paying lip service. I think that's thats the best way I can put it. Kuhusu huo utawala wa kijeshi nadhani hauja ona nchi zenye utawala kama huo laa sivyo usinge thubutu kusuggest kitu kama hicho hata kidogo.
   
 15. M

  Magezi JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Angalia serikali ya CCM walivyo wa hovyo....maofisi yote wamejaza furnitures za india na kwingineko...halafu wana tulaghai eti tupende bidhaa zetu ilihali wao wenyewe hawazipendi. Tena ukishauri kununuliwa vifaa vilivyo tengenezwa TZ unaambiwa zina gharama kubwa, lakini hapo issue ni 10%.
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  That is true. Wao wenyewe wanaendekeza nje halafu wana kuja kutuambia the opposite. They never practice what they preach.
   
 17. M

  Magezi JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ni hasira tu mzee...
   
 18. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nakuelewa mkuu. Hawa viongozi wetu wame tuangusha sana lakini part of the blame ni sisi wenyewe wananchi kwa kuendelea kuwa weka madarakani.
   
 19. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwanafalsafa!

  I tend to agree with Magezi! We could try the military as a transition the way they did it in Ghana! Go and ask Barrick Gold the dirty game they are playing in Tanzania not in the same way in Ghana HAPA wanavuna wasichopanda yet they pay back the CCM Mafioso and some peanut in the name of MRAHABA. TICTS,DOWANS, TRL MWADUI;KIWIRA etc.......... usanii mtupu

  Hata kama maafande watatupigisha kwata kila kaya asubuhi na jioni it's worth trying. Ukiona anayeogopa maafande ujue anacho chake kitu ndani ya mfumo wa sasa. Wataachia kama alivyofanya Jerry Rwalings wa Ghana under international pressure within two to three years... We can't afford another decade under CCM watauza hata wake zetu!!! Yes!!!!

  The possibility of pushing CCM out of the picture kwa ballot box is quite slim. Kwani mafisadi who are now running the country under the umbrela of CCM hawatakubali wanyanganywe walichopora at any cost!

  We want action today but hata hao mijeshi ni corrupt na wamenunuliwa na mafisadi do yo remember the scandal ya SUKARI ya Manji na JWTZ chini ya MBOMA walivyomfanya Idd Simba apigwe mtama!! Labda tuwe na coalition kati ya peoples power na wale askari wenye cheo cha Leutenant nusu kwenda chini!!

  Let us try it !!
   
 20. W

  WildCard JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Tuliviua viwanda vyetu vilivyojengwa enzi za Mwalimu kwa UBADHIRIFU na UFISADI na sio kwa kununua bidhaa za nje kama anavyosema Mama Nagu ambaye nilitarajia anafahamu zaidi jinsi viwanda vyetu vilivyofilisika kwani kabla ya kuwa mwanasiasa alikuwa mkurugenzi kwenye kiwanda kimojawapo kule Morogoro ambacho aliacha kinakufa. Watanzania walijivunia sana vitenge na khanga za Urafiki na Mwatex. Bia ya safari ilipendwa na kunyweka sana, kahawa na chai ya TTB haikuwa na mpinzani.....
   
Loading...