Nagombea Urais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Nagombea Urais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Ww tamaa yako ni pesa tu Hanna cha mabadiliko wala nn

Huko kwenye Kata yako unebadilisha nin tangu umeajiriwa kwa mratibu elimu Kata?

Je unauwezo wa kupunguza makato ya CWT yakafikia 1%?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is CWT?

Is a branch of CCM that deals With undermining teachers and disposing them like toilet papers after their contribution.
 
Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).
Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.

Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa Elimu Kata na ni mwezeshaji wa Taifa Tasaf
maswala ya Uwekaji wa Akiba na Uundaji wa Vikundi.

Nia hasa ya kugombea nafasi hii, nataka kutengeneza mazingira rafiki kati ya mwalimu na chama.
Walimu wanaweza kufanya makubwa sana ndani ya mwamvuli wa chama kwa kuboresha vitega uchumi na
kuongeza usimamizi wa Miradi iliyopo na kuongeza tija kwa walimu

Mwisho, kuna haja ya kurekebisha katiba ya chama kwa kuyapitia upya maoni yaliyokusanywa ili katiba ya chama
iendane na mahitaji na mabadiliko yanahitajika kuboresha utoaji na upatikanaji wa Elimu nchini. Hili linawezekana
endapo tutapata viongozi makini na wenye uthubutu kama Anania Titus Mbuta

Tafadhari mniunge mkono na nitangaze kwenye magroup ya walimu waniunge
Naambatanisha poster yangu
Kaongeze elimu mkuu, angalau PhD,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wadau mwenye fomu ya kujitoa uanachama wa CWT naiomba nataka nifanye utaratibu wa kuhamia chama kingine
 
Nia na madhumuni ya kugombea CWT ni kutaka kupata fursa ya kutafuna kiulaini michango ya wanachama
 
Siasa kidogo..
Hatuko kwenye kipindi cha siasa...bali kipindi cha kuichapa kazi
 
Wakati wa kuomba, mikono nyuma na sura inayotia huruma. Mkipata kura na kukalia viti mnakuwaga na nyodo sana.
 
Back
Top Bottom