Nagombea Urais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

CWT ni kama CCM tu,ngonjera nyingi utekelezaji sifuri.
 
Mkuu sioni kama kuna haja ya kukimbia changamoto
Mimi naona ipo room ya kufanya mabadiliko.
Mimi naingia kupambana na tatizo ndio maana nimeona sitaki kuwa mlalamikaji bali mpambanaji

Cwt ikipata viongozi wazuri inaweza sana kuboresha maisha ya walimu na fani yenyewe ya ualimu
Mimi walimu wanikopeshe Kira nitawalipa uadilifu na utendaji wa kazi uliotukuka
Unalizungumziaje suala la mabinti wanaopata ujauzito wakiwa masomoni?
 
Hakuna Kitu hapa unatafuta kula tuu
Wazee wakupambana Kwio!!!!

Eti nitapambana!! Utapambana na nan mzee?? Acha uongo

Walimu wengi wana degree wanakuchora tuu na uongo wako

Unaweza kupambana na Serikali wewe??
Bas tunakusubiri huku upambane na boss wako tuone

Sent by IPhone
 
Naona umeona fursa ya kupiga pesa ya maticha.
Hii chama ya maticha unajipigia pesa bila stress.
Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).
Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.

Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa Elimu Kata na ni mwezeshaji wa Taifa Tasaf
maswala ya Uwekaji wa Akiba na Uundaji wa Vikundi.

Nia hasa ya kugombea nafasi hii, nataka kutengeneza mazingira rafiki kati ya mwalimu na chama.
Walimu wanaweza kufanya makubwa sana ndani ya mwamvuli wa chama kwa kuboresha vitega uchumi na
kuongeza usimamizi wa Miradi iliyopo na kuongeza tija kwa walimu

Mwisho, kuna haja ya kurekebisha katiba ya chama kwa kuyapitia upya maoni yaliyokusanywa ili katiba ya chama
iendane na mahitaji na mabadiliko yanahitajika kuboresha utoaji na upatikanaji wa Elimu nchini. Hili linawezekana
endapo tutapata viongozi makini na wenye uthubutu kama Anania Titus Mbuta

Tafadhari mniunge mkono na nitangaze kwenye magroup ya walimu waniunge
Naambatanisha poster yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema unapambana kwenda kuiba pesa za walimu. CWT ni kichaka cha kutafuna fedha za walimu nchini
 
Nakutakia kila la kheri upate ushindi, ukifanikiwa anza na kero ya bank ya walim ambayo inaonekana ni ya kisanii.
2. Bati 20 za kustaafia.
Ikiwezekana anza kampeni mapema za kuzunguuka mikoani.
Usitegemee kuomba kura ukumbini, kuna fitna kubwa hawa makatibu wa mikoa wameibuni!
Tulipokuwa ktk uchaguzi wa mkoa Mtwara tulishuhudia vituko! Inawezekana vikawa na muendelezo huko Taifani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).
Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.

Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa Elimu Kata na ni mwezeshaji wa Taifa Tasaf
maswala ya Uwekaji wa Akiba na Uundaji wa Vikundi.

Nia hasa ya kugombea nafasi hii, nataka kutengeneza mazingira rafiki kati ya mwalimu na chama.
Walimu wanaweza kufanya makubwa sana ndani ya mwamvuli wa chama kwa kuboresha vitega uchumi na
kuongeza usimamizi wa Miradi iliyopo na kuongeza tija kwa walimu

Mwisho, kuna haja ya kurekebisha katiba ya chama kwa kuyapitia upya maoni yaliyokusanywa ili katiba ya chama
iendane na mahitaji na mabadiliko yanahitajika kuboresha utoaji na upatikanaji wa Elimu nchini. Hili linawezekana
endapo tutapata viongozi makini na wenye uthubutu kama Anania Titus Mbuta

Tafadhari mniunge mkono na nitangaze kwenye magroup ya walimu waniunge
Naambatanisha poster yangu
Nimesambaza bandiko lako maeneo mengi! Naomba na CV yako niirushe huko! Nitumie pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kama huna kadi ya sisiemu nakuhakikishia utaukosa mapemaaaa.

Ila imani yangu hadi wagombea nafasi hiyo basi unayo na kila la heri mkuu.
 
Mshamba ni wewe mkuu kwa vile unaweza kuongea usichokijua ikidhani uko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema jamaa in mratibunikasema hakuna waratibu elimu Tanzania nzima ila wapo Maafisa Elimu Kata kulingana na Sera mpya ya Elimu,hapo ndipo ulipo ushamba wako mkuu
 
Back
Top Bottom