Nagombea Udiwani 2025

Yote tamaa ya kwenda kuibia wananchi, na safari hii CCM mbereko yenu haipo mjishike
 
Yaani mkuu hapa kwenye 150,000 ni kwa kijiji au kata?
Mkuu Ndio.Yaani Kila Mwezi Uwe na Bajeti ya Kutembelea Kijiji angalau Mara Moja.Usalimie Wananchi wenzako,Upige nao Stori,Mjadili changamoto zenu na Fursa,Utengeneze Urafiki wa Kisiasa.Shawishi Baadhi yao wawe na Kadi za Chama,Sambaza Bendera za Chama.n.k.Cha muhimu hakikisha watu wanakuona,wanakujadili na kuamua kama unawafaa mapema kabisa.
 
Hakuna CCM mzalendo acha kuvuna dhambi leo ni sabato
Nakubaliana na wewe kwamba CCM,CHADEMA,NCCR,TLP,TADEA n.k.Hakuna kabisa Uzalendo.Ila Wazalendo wanaweza wakawepo.Mwananchi kama huyu anapoanza kuonesha nia ya kushika DOLA iwe ni kwa njia ya CCM au Chama chochote ni jambo zuri sana.Kwani iaonesha kwamba sasa Kila Mtu anatambua wajibu wake na nafasi yake.
 
Asante mkuu kwa maoni yako,
Huo mvuto ndo nautaka ni ujengeje
Nimechagua chama tawala na kwa sasa ni Mwenyekiti wa ccm Tawi
Walinichagua

Pia ni mwenyekiti wa vikundi viwili vya kusaidiana vya watu wanaoishi nje ya mkoa huo wanaotokana na jamii hiyo.
Mkoa ni kilimanjaro jimbo ni la Moshi vijijini
OK,Hili JIBU lako ni ZURI.Kwanza kabisa Kama umeweza Kuwa Mwenyekiti wa vikundi na chama tayari una KAMVUTO FULANI.Mvuto maana yake ni kukubalika.Swali la PILI ni Je Uenyekiti wa Tawi unautendea HAKI?Je Uongozi wa Hivyo Vikundi viwili Unautendea HAKI?

Kwa Jimbo la Moshi Vijijini naamini kabisa Huko Ushindani Upo kwa sababu wapiga KURA wengi ni watu ambao wana uwezo wa kufanya Maamuzi Magumu.Unachotakiwa Kufanya SASA ni kuanza kutekleza baadhi ya mambo ambayo unatamani yafanyike katika KATA yako kwa KUFUATILIA katika Ofisi husika.Tumia Kofia ya Mwenyekiti wa CCM na Kofia ya Mwenyekiti wa Vikundi vya KUSAIDIANA.

Wahamasishe hao wa hivyo Vikundi wahame kutoka KUZIKANA mpaka kuanza KUBORESHA baadhi ya mambo kama vile kutoa Misaada katika SHULE,Hospitali,Makanisani .n.k.Zingatia Hiyo Misaada Wewe uwe Mstari wa Mbele Kuichangia na kuiwakilisha Kwa Wahusika.Unapowakilisha hakikisha Unapata Media Coverage nzuri na unawapa watu maneno ya hekima na Hamasa.
 
Sahihi mkuu tatizo la OKW BOBAN SUNZU ana chuki na hicho chama basi haamini kama kuna wazalendo kama sisi
 
Asante mkuu kwa ushauri murua kabisa
 
Sahihi mkuu tatizo la OKW BOBAN SUNZU ana chuki na hicho chama basi haamini kama kuna wazalendo kama sisi
Hana Chuki Bwana.Ana mtazamo Potofu tu.We unafikiri mambo ambayo yanafanywa na Wana CCM kwa sasa na huko nyuma lazima uone kabisa kuna UFISADI ndani ya CCM ila unaweza kukuta huyu ana KADI ya CCM.Kwa siasa za BONGO hakuna sehemu ambayo kuna uzalendo hata wa uongo.iwe CHADEMA,IWE CCM,IWE ACT au CUF kote kuna WAZALENDO ila hakuna uzalendo.
 
OK,Hili JIBU lako ni ZURI.Kwanza kabisa Kama umeweza Kuwa Mwenyekiti wa vikundi na chama tayari una KAMVUTO FULANI.Mvuto maana yake ni kukubalika.Swali la PILI ni Je Uenyekiti wa Tawi unautendea HAKI?Je Uongozi wa Hivyo Vikundi viwili Unautendea HAKI?

Kwa Jimbo la Moshi Vijijini naamini kabisa Huko Ushindani Upo kwa sababu wapiga KURA wengi ni watu ambao wana uwezo wa kufanya Maamuzi Magumu.Unachotakiwa Kufanya SASA ni kuanza kutekleza baadhi ya mambo ambayo unatamani yafanyike katika KATA yako kwa KUFUATILIA katika Ofisi husika.Tumia Kofia ya Mwenyekiti wa CCM na Kofia ya Mwenyekiti wa Vikundi vya KUSAIDIANA.

Wahamasishe hao wa hivyo Vikundi wahame kutoka KUZIKANA mpaka kuanza KUBORESHA baadhi ya mambo kama vile kutoa Misaada katika SHULE,Hospitali,Makanisani .n.k.Zingatia Hiyo Misaada Wewe uwe Mstari wa Mbele Kuichangia na kuiwakilisha Kwa Wahusika.Unapowakilisha hakikisha Unapata Media Coverage nzuri na unawapa watu maneno ya hekima na Hamasa.
Huu ushauri wako nahidi kuufanyia kazi kadri ya uwezo wangu wote na Mungu anisaidie
 
Wewe gombea bila kujali utapata au utakosa, ila kikubwa kuwa na mikakati uwe wamoto hakikisha unaonekana ni tishio kwa wagombea wengine.
 
Asante mkuu mbinu za kuwa tishio nazitengenezaji
Kuwa na kundi la vijana wote wa hiyo kata, hasa boda boda yaani ukpita kila kijiwe uwe na chawa wako mmoja. Ukipita tu anaropoka Habari za saa hizi Mheshimiwa diwaniiii!!?

Wewe unarudisha salamaaa, unaenda kupiga nao stori kidogo. Unanunua konyagi kubwa unawaachia vijana wajibust kidogo.

Ukinyanyuka kuondoka wakupigie shangwe lakutosha DIWANIII, DIWAANII,DIWAANIII. Alafu wewe ukirudi kwenye chama unaenda kusema unakubalika na akina mama na vijana wote wa kata.
 
Asante mkuu kwa maoni yako,
Huo mvuto ndo nautaka ni ujengeje
Nimechagua chama tawala na kwa sasa ni Mwenyekiti wa ccm Tawi
Walinichagua

Pia ni mwenyekiti wa vikundi viwili vya kusaidiana vya watu wanaoishi nje ya mkoa huo wanaotokana na jamii hiyo.
Mkoa ni kilimanjaro jimbo ni la Moshi vijijini
Nakushauri rudi ukagombee Lupaso(Kwa Che Nkapa),Masasi DC, Mtwara.
Ukigombea huko, utakata mtaji wako wa Aluminum

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom