Nagombea Udiwani 2025

Nagombea Udiwani 2025

Mimi mzalando wa Taifa na wananchi wito wangu uko kwenye uongozi.

Tumpime mtu sio chama chake chama kinabeba watu wa kila aina

Nafananisha chama cha siasa kama bus ambalo linabeba abiria wa kila aina.
Hopefully umenielewa
Ishu sio mtu Bali ni chama, Iko hv chama kina sera ambazo wewe kama mwanachama au kiongozi uliyepatikana kupitia chama hicho unatakiwa ufuate vinginevyo unashughulikiwa fasta, kwahyo sio mtu Bali ni chama.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na kundi la vijana wote wa hiyo kata, hasa boda boda yaani ukpita kila kijiwe uwe na chawa wako mmoja. Ukipita tu anaropoka Habari za saa hizi Mheshimiwa diwaniiii!!?

Wewe unarudisha salamaaa, unaenda kupiga nao stori kidogo. Unanunua konyagi kubwa unawaachia vijana wajibust kidogo.

Ukinyanyuka kuondoka wakupigie shangwe lakutosha DIWANIII, DIWAANII,DIWAANIII. Alafu wewe ukirudi kwenye chama unaenda kusema unakubalika na akina mama na vijana wote wa kata.
Asante mkuu kwa hii mbinu mujaribu
 
Back
Top Bottom