Nagombea Udiwani 2025

Nagombea Udiwani 2025

Ruwamangi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
1,374
Reaction score
2,559
Wana bodi Amani iwe juu yenu.

Awali nimshukuru Mwenyenzi Mungu kunifikisha Mwaka huu wa 2024 naamini pia atanivusha salama na kufika 2025 kwa maepnzi yake.

Iko hivi nimejipima nimeona sifa ninazo za kuwa kiongozi katika eneo langu la kiutawala.

Nina ushawishi wa kiasi flani

Kwenye moja ya chama nachotaka kukitumia kugombea

Changamoto niliyonayo ni kipato cha kufanya kampeni ndani ya chama hicho
Ili kipitishe jina langu.

Ushauri ninao uhitaji hapa nitapataje fedha za kufanya kampeni na kwa uzoefu wenu kata yenye vijiji saba
Inapaswa nitenge kiasi gani.

Pia kwa sasa nitumie mbinu gani ili nijipambanue (nijulikane) kwenye hii kata?

Karibuni kwa maoni,ushauri na maswali
 
Mkuu kama umeamua kuingia ulingon tumia slaa na mbinu yoyote, ndan ya cham mara nyingi ndio hupend kutembez ela nje ya hapo tafut machawa kila kijiji / mtaani kaa nao na myajeng

Kila lq heri japo nilitamn kuon CV yako
 
Wana bodi Amani iwe juu yenu.

Awali nimshukuru Mwenyenzi Mungu kunifikisha Mwaka huu wa 2024 naamini pia atanivusha salama na kufika 2025 kwa maepnzi yake.

Iko hivi nimejipima nimeona sifa ninazo za kuwa kiongozi katika eneo langu la kiutawala.

Nina ushawishi wa kiasi flani

Kwenye moja ya chama nachotaka kukitumia kugombea

Changamoto niliyonayo ni kipato cha kufanya kampeni ndani ya chama hicho
Ili kipitishe jina langu.

Ushauri ninao uhitaji hapa nitapataje fedha za kufanya kampeni na kwa uzoefu wenu kata yenye vijiji saba
Inapaswa nitenge kiasi gani.

Pia kwa sasa nitumie mbinu gani ili nijipambanue (nijulikane) kwenye hii kata?

Karibuni kwa maoni,ushauri na maswali
MBONA UMEGOMBEA CHEO KIDOGO KISICHO NA MSHAHARA? GOMBEA UBUNGE AU UKUU WA MKOA
 
Mkuu,Kwanza kabisa sikushauri ufikiri kutumia PESA kwa lengo la kupata UDIWANI hasa kama ni Mgeni kwenye SIASA.Kwa Kampeni ya Ndani ya Kata MOJA yenye Vjiji SABA Tengea kati ya 50,000 hadi 150,000 kwa kila kata kwa mwezi kwa kipindi hiki cha mwanzo kisha wakati wa Kampeni Uwe na Angalau Bajeti ya Milioni 6-hadi 15.

Jambo la Kuzingatia.Kama Lengo lako ni KUgombea Udiwani Mwakani.Basi anza kwa Kugombea Serikali ya Mitaa Mwaka Huu.Hii itakusaidia Kujipima,Kujifunza kula jongoo,Kujielewa iwapo kweli unaweza Purukushani za siasa.

Vyovyote vile utakavyo usitarajie kwamba KUWA na PESA ndio kutakupa nafasi ya Uongozi.Wakati mwingine inahitajika uwe na Mvuto kwa Jamii/Watu.Vile ili Kujenga nafasi yako zaidi kisiasa Onesha Nia ya KUUTAKA UBUNGE.Ili watu wakuzungumze kwa nafasi ya UBUNGE.Hiyo Itakusaidia kutengeneza Mazingira ya kufahamika na kufahamiana na watu.

Mwisho wa SIKU.Ili tukupe Mbinu za Kivita.Taja Chama,Jimbo na Mkoa Uliopo ili tuone Ushindani Uliopo Hapo.
 
Wana bodi Amani iwe juu yenu.

Awali nimshukuru Mwenyenzi Mungu kunifikisha Mwaka huu wa 2024 naamini pia atanivusha salama na kufika 2025 kwa maepnzi yake.

Iko hivi nimejipima nimeona sifa ninazo za kuwa kiongozi katika eneo langu la kiutawala.

Nina ushawishi wa kiasi flani

Kwenye moja ya chama nachotaka kukitumia kugombea

Changamoto niliyonayo ni kipato cha kufanya kampeni ndani ya chama hicho
Ili kipitishe jina langu.

Ushauri ninao uhitaji hapa nitapataje fedha za kufanya kampeni na kwa uzoefu wenu kata yenye vijiji saba
Inapaswa nitenge kiasi gani.

Pia kwa sasa nitumie mbinu gani ili nijipambanue (nijulikane) kwenye hii kata?

Karibuni kwa maoni,ushauri na maswali
Ongea na Wanachi, eleza maono Yako, wasikize pia wanataka kiongozi wa aina Gani na akatatue nini,

Kisha omba msaada wa kusupport,utafanikiwa.
 
Mkuu,Kwanza kabisa sikushauri ufikiri kutumia PESA kwa lengo la kupata UDIWANI hasa kama ni Mgeni kwenye SIASA.Kwa Kampeni ya Ndani ya Kata MOJA yenye Vjiji SABA Tengea kati ya 50,000 hadi 150,000 kwa kila kata kwa mwezi kwa kipindi hiki cha mwanzo kisha wakati wa Kampeni Uwe na Angalau Bajeti ya Milioni 6-hadi 15.

Jambo la Kuzingatia.Kama Lengo lako ni KUgombea Udiwani Mwakani.Basi anza kwa Kugombea Serikali ya Mitaa Mwaka Huu.Hii itakusaidia Kujipima,Kujifunza kula jongoo,Kujielewa iwapo kweli unaweza Purukushani za siasa.

Vyovyote vile utakavyo usitarajie kwamba KUWA na PESA ndio kutakupa nafasi ya Uongozi.Wakati mwingine inahitajika uwe na Mvuto kwa Jamii/Watu.Vile ili Kujenga nafasi yako zaidi kisiasa Onesha Nia ya KUUTAKA UBUNGE.Ili watu wakuzungumze kwa nafasi ya UBUNGE.Hiyo Itakusaidia kutengeneza Mazingira ya kufahamika na kufahamiana na watu.

Mwisho wa SIKU.Ili tukupe Mbinu za Kivita.Taja Chama,Jimbo na Mkoa Uliopo ili tuone Ushindani Uliopo Hapo.
Asante mkuu kwa maoni yako,
Huo mvuto ndo nautaka ni ujengeje
Nimechagua chama tawala na kwa sasa ni Mwenyekiti wa ccm Tawi
Walinichagua

Pia ni mwenyekiti wa vikundi viwili vya kusaidiana vya watu wanaoishi nje ya mkoa huo wanaotokana na jamii hiyo.
Mkoa ni kilimanjaro jimbo ni la Moshi vijijini
 
Ongea na Wanachi, eleza maono Yako, wasikize pia wanataka kiongozi wa aina Gani na akatatue nini,

Kisha omba msaada wa kusupport,utafanikiwa.
Asante mkuu kwa ushauri wako[emoji120]
 
Kama umeona aibu kutaja chama basi wewe ni yale majizi ya CCM. Maana hakuna mgombea binafsi
 
Mkuu,Kwanza kabisa sikushauri ufikiri kutumia PESA kwa lengo la kupata UDIWANI hasa kama ni Mgeni kwenye SIASA.Kwa Kampeni ya Ndani ya Kata MOJA yenye Vjiji SABA Tengea kati ya 50,000 hadi 150,000 kwa kila kata kwa mwezi kwa kipindi hiki cha mwanzo kisha wakati wa Kampeni Uwe na Angalau Bajeti ya Milioni 6-hadi 15.

Jambo la Kuzingatia.Kama Lengo lako ni KUgombea Udiwani Mwakani.Basi anza kwa Kugombea Serikali ya Mitaa Mwaka Huu.Hii itakusaidia Kujipima,Kujifunza kula jongoo,Kujielewa iwapo kweli unaweza Purukushani za siasa.

Vyovyote vile utakavyo usitarajie kwamba KUWA na PESA ndio kutakupa nafasi ya Uongozi.Wakati mwingine inahitajika uwe na Mvuto kwa Jamii/Watu.Vile ili Kujenga nafasi yako zaidi kisiasa Onesha Nia ya KUUTAKA UBUNGE.Ili watu wakuzungumze kwa nafasi ya UBUNGE.Hiyo Itakusaidia kutengeneza Mazingira ya kufahamika na kufahamiana na watu.

Mwisho wa SIKU.Ili tukupe Mbinu za Kivita.Taja Chama,Jimbo na Mkoa Uliopo ili tuone Ushindani Uliopo Hapo.
Yaani mkuu hapa kwenye 150,000 ni kwa kijiji au kata?
 
Asante mkuu kwa ushauri wako[emoji120]
Pia hakikisha unawashirikisha wazazi wa kimwili na kiroho, upate baraka zao Kisha endelea na safari Yako,

Kamwe usiende Kwa Waganga kujaribu kupata uongozi kupitia njia hiyo maana hutofanikiwa.
 
Sawa sawa mkuu Rabbon naamini uongozi bora unatoka kwa Mungu shetani atakufurahisha kwa muda tu

Nazingatia hilo
 
Kws viongozi mnaotegemea kugombea, mnatambua jinsi tunavyoibiwa. angakia muamsla huu na kipigo kitatatifu cha vati. Kwa wale wenye IQ ndogo angalia jumla ya makato ilivyodanganywa kuwa ni chini ya 2,000 huku wakisema tozo=0 na ada=0 wakati kiharisia nimekatwa 8000 na ushee.
Screenshot_20240420-125410_1.jpg
Screenshot_20240420-125410_1.jpg
 
Unataka ukaongeze idadi yamafisiem?!! Mungu tuondolee pepo geni hili!!
Mimi mzalando wa Taifa na wananchi wito wangu uko kwenye uongozi.

Tumpime mtu sio chama chake chama kinabeba watu wa kila aina

Nafananisha chama cha siasa kama bus ambalo linabeba abiria wa kila aina.
Hopefully umenielewa
 
Tatizo kitendo cha kijiunga chama cha Mwenge akili zinapotea ghafra unakuwa zuzu
 
Back
Top Bottom