Nagombea ubunge Mwanga Kilimanjaro

Nagombea ubunge Mwanga Kilimanjaro

ki ukweli maghembe mwepesi tu. Tukikomaa vizuri CDM tunashinda hili jimbo asubuhi. Mi nasubiri kuapishwa tu Diwani mtatajiwa wa Kata mpya ya Mwanga

Kule juu kwa eliud mchali vipi nani anasimama na mzee naye vipi?
 
habar wana Jf,jimbo la mwanga ni jimbo ambalo lipo mkoa wa kilimanjaro limetawaliwa na ccm miaka yote kwa uwezo wangu nilionao vijana na wakinamama wameniomba nigombee ubunge katika jimbo hili kwa tiketi ya cdm,hakika jimbo hili linahitaji kijana ambaye ni compitient ili aweze kuwatoa sumu ambayo wananch wamepandikizwa,nayafaham vizur matatizo ya jimbo,mbunge wa sasa pro.magembe amekuwa mzigo katika jimbo hili.nakaribisha ushauri wenu

Labda kama makamanda wa kweli waliyojenga hilo jimbo wawe wamekufa, siyo nyie malaika mnaodondoka siku za mwisho, Mwanga hatufanyi kura za maoni kama mlitegemea kuja kununua wajumbe imekula kwenu mpaka sasa tunamjua kama mmoja tu.

Anayepiga kazi usiku na mchana kwa vitendo siyo nyie wapiga kelele, toka vijiji 0 mpaka vijiji 6, toka vitongoji 2 mpaka 19. Hii yote ni kazi ya kamanda Kileo nyie mlikuwa wapi muda huwo? Demokrasia inahitajika lakini hakuna Demokrasia isiyokuwa na wajibu.

Toka 2011 mpaka sasa Kamanda yupo mzigoni kwani sisi hatumuoni? Tuje tuwaone nyie malaika wa leo?

Acha kupoteza muda wako wapare wanataka mabadiliko siyo nyie wapiga ramli ambao mmejiandaa kutuuza.
 
Labda akamfute Maghembe viatu, Kileo wetu Mwanga yetu Tangazeni hata watiania 200 ila mmoja tu ndiye tunayemjua na tunamuhitaji kura zetu zitakuwa salama sana na mkae mkijua Chadema Mwanga siyo sehemu ya majaribio, kuna mmoja amekuja juzi anajiita mtoto wa Dr.Ngoma tukaenda kwenye mkutano aliposikia Kamanda ananguruma akatoweka ghafula anapigiwa simu hapokei.

Kamanda wa nchi kavu alisema tunajua mkakati wa ccm ni kutaka kuivuruga chadema mwanga ili iwe vipande vipandw kama ilivyo ccm, mkakati huu tumeshaujua hatutakubali kwa namna yeyote ile hapa ni lazima ccm iondoke mapandikizi yao yatatoweka kwa aibu hata leo ama kesho unaweza kusikia eti kunawatiania wa chadema wamejitokeza ilimradi kuvuruga wanachama, tupo makini uhuni kama huwo hatutakubali maana mwanga tumeijenga kwa gharama kubwa sana, wapo watu walishinda njaa, wengine waliachwa na wake zao waume zao kwaajili ya chadema na ukombozi wa Mwanga yetu, msiwe na hofu Chadema mwanga ipo salama, alisema kamanda kileo.
 
akinishinda kwenye kura za maoni hakuna tatizo wote tunataka mabadiliko mwanga nitamuunga mkono bila kinyongo chochote.pia na mimi nikimshinda aniunge mkono

Jipe moyo, tunamjua kileo kajipange wakati mwingine na sehemu nyingine siyo mwanga
 
Labda kama makamanda wa kweli waliyojenga hilo jimbo wawe wamekufa, siyo nyie malaika mnaodondoka siku za mwisho, Mwanga hatufanyi kura za maoni kama mlitegemea kuja kununua wajumbe imekula kwenu mpaka sasa tunamjua kama mmoja tu.

Anayepiga kazi usiku na mchana kwa vitendo siyo nyie wapiga kelele, toka vijiji 0 mpaka vijiji 6, toka vitongoji 2 mpaka 19. Hii yote ni kazi ya kamanda Kileo nyie mlikuwa wapi muda huwo? Demokrasia inahitajika lakini hakuna Demokrasia isiyokuwa na wajibu.

Toka 2011 mpaka sasa Kamanda yupo mzigoni kwani sisi hatumuoni? Tuje tuwaone nyie malaika wa leo?

Acha kupoteza muda wako wapare wanataka mabadiliko siyo nyie wapiga ramli ambao mmejiandaa kutuuza.

Mkuu Mi Simping Kamanda Kilewo Ila Kura Ya Maoni Ni Lazima Mana Kuna Kamanda Mwingine Yupo Hapa Arusha Ashakijenga Sana Chadema Haswa Kwa Upande Wa Mlimani
 
Mkuu Mi Simping Kamanda Kilewo Ila Kura Ya Maoni Ni Lazima Mana Kuna Kamanda Mwingine Yupo Hapa Arusha Ashakijenga Sana Chadema Haswa Kwa Upande Wa Mlimani

Acha uongo wewe unaweza sema sehemu ya mlima iliyojengwa na huyo kamanda?? Kukaa na kutunga uongo haiwasaidii kitu.

Tupe usangi iliyojengwa na huyo kamanda na sisi tukupe Data kamili za Usangi kwa vitendo.
 
nimefanya jitihada kubwa sana nikiwa chuoni kwenye tawi letu la vijana cdm kuimarisha chama sasa wewe unafanya poronyo tu

mkuu asante
kama umeona mimi nafanya poronyo kama ulivyoandika hapo juu lakini swali langu liko pale pale. Jiweke wazi na ujitambulishe tukujue wapiga kura kama kiongozi tena na mtia nia ya kugombea ubunge unatakiwa uwe jasiri weka cv yako tukuuze kama unauzika kama mgombea wa ubunge
 
Mwanga ndio jimbo rahisi sana kwa sasa kwa CHADEMA kushinda kwa mkoa wa Kilimanjaro kutoka kwa CCM.
Ni juzi tu nimetoka huko katika shughuli za kiserikali na nikagundua haya.
1/Kuna vita kubwa sana ya ndani ya CCM ya kikabila/kikoo kati ya Wasangi(Maghembe anakotoka) na Wagweno(Thadayo anapotoka). Kwa vyovyote vile vita hii itainufaisha sana CHADEMA kisiasa kama wakitumia udhaifu huu vizuri. Vita ya Maghembe(Muislamu) na Thadayo(Mkristo) inahusisha mpaka imani za kidini ndani ya CCM. Japokuwa Thadayo ana nguvu zaidi kuliko Maghembe ila kuna kila dalili kuwa CCM itambeba Maghembe. Vita hii pia inahusisha kambi za urais, Thadayo ni kambi ya Membe na Maghembe ni kambi ya Lowassa.
2/Kwa sasa sehemu kubwa ya watu wanaishi Tambarare na sio milimani. Watu wenye michanganyiko ya kikabila na kikoo, na kwa bahati mbaya sana CCM iliwasahau, na wengi wao ni wapenzi wakubwa wa CHADEMA.
3/CHADEMA ina mtandao Mdogo sana maeneo ya milimani(Usangi na Ugweno) japokuwa wakazi Wa huko wengi wana mwamko sana na kiu ya kupata mabadiliko ya kisiasa.
4/Kwa CHADEMA mpaka sasa jina Henry Kileo ndio linasikika na kutawala. Sikupata kusikia jina lingine la mwanachama Wa CHADEMA mwenye nia ya kutaka kugombea jumbo la Mwanga.
 
Back
Top Bottom