Nagombea ubunge Mwanga Kilimanjaro

Nagombea ubunge Mwanga Kilimanjaro

Kwasasa wabunge tunataka wazawa wewe kagombee kwenu kwa kinasokoine.
 
  • Thanks
Reactions: Mpu
mkuu chadema nimeanza kuijenga tokea nikiwa chuoni kwenye tawi la vijana,sasa sijui ww msaad wako kwenye chama ni upi?

mimi ni mzalendo nisiweza kukweleza nin nimefanya au ntafanya ila kunapotoke mtu kama we kupima upepo apa jamvin lazima nimjibu halafu ubunge haugombaniwi jf mbona sijawah hata kukutana na wew ofisi yeyote ya chama wilaya mkoa wala ofisi yetu ndogo ya usangi?
 
Nadhani anayesema Maghembe hatoki haijui hali ya mwanga kwa sasa Maghembe is no more labda ccm wampitishe Tadayo ushindani utakuwa mkubwa...Na anayesema Maghembe ana mtaji wa kura labda anawaza miaka kumi iliyopita sio leo
fanyan mpango huyo Tadayo avue magamba na avae magwanda
 
Kumtoa Maghembe pale inahitajika nguvu ya ziada kwani ana mtaji wa kura zaidi ya asilimia 85.
Halafu ktk hili jimbo wapiga kura wengi ni wazee na wamama.Vijana ni asilimia ndogo sana.Jaribu bahati mkuu lakini anza kujiimarisha mapema manaake ile ni ngome ya CCM.

Hakuna mahali popote pale duniani ambapo wazee ni asilimia kubwa kuliko vijana. Labda kama ndoa za huko kwenu hazikutoa matunda. Maana kila familia wanandoa wawili watazaa watoto, hivyo vijana watakuwa wengi tu. Hii ni kuhusu taarifa
 
habar wana Jf,jimbo la mwanga ni jimbo ambalo lipo mkoa wa kilimanjaro limetawaliwa na ccm miaka yote kwa uwezo wangu nilionao vijana na wakinamama wameniomba nigombee ubunge katika jimbo hili kwa tiketi ya cdm,hakika jimbo hili linahitaji kijana ambaye ni compitient ili aweze kuwatoa sumu ambayo wananch wamepandikizwa,nayafaham vizur matatizo ya jimbo,mbunge wa sasa pro.magembe amekuwa mzigo katika jimbo hili.nakaribisha ushauri wenu

Kwa tiketi gani?cdm ndo nini wewe.ingekuwa chadema sawa.mwone kwanza utawekewa pingamizi kwa kuandika chama kisichokuwepo.nyie ndo walewale mliokikosesha ushindi kwa kuandika eti chama cdm
 
Compitient -competent, wakati mwingine ni vizuri uandike Kiswahili ambacho hakina tabu.
 
habar wana Jf,jimbo la mwanga ni jimbo ambalo lipo mkoa wa kilimanjaro limetawaliwa na ccm miaka yote kwa uwezo wangu nilionao vijana na wakinamama wameniomba nigombee ubunge katika jimbo hili kwa tiketi ya cdm,hakika jimbo hili linahitaji kijana ambaye ni compitient ili aweze kuwatoa sumu ambayo wananch wamepandikizwa,nayafaham vizur matatizo ya jimbo,mbunge wa sasa pro.magembe amekuwa mzigo katika jimbo hili.nakaribisha ushauri wenu

Mimi ninaunga mkono CDM pia lakini tuwe tunajiandaa kidogo ili tuonekane tuna maana.
 
Mjomba nini mategemeo yako kwenye uchaguzi ujao.
ki ukweli maghembe mwepesi tu. Tukikomaa vizuri CDM tunashinda hili jimbo asubuhi. Mi nasubiri kuapishwa tu Diwani mtatajiwa wa Kata mpya ya Mwanga
 
habar wana Jf,jimbo la mwanga ni jimbo ambalo lipo mkoa wa kilimanjaro limetawaliwa na ccm miaka yote kwa uwezo wangu nilionao vijana na wakinamama wameniomba nigombee ubunge katika jimbo hili kwa tiketi ya cdm,hakika jimbo hili linahitaji kijana ambaye ni compitient ili aweze kuwatoa sumu ambayo wananch wamepandikizwa,nayafaham vizur matatizo ya jimbo,mbunge wa sasa pro.magembe amekuwa mzigo katika jimbo hili.nakaribisha ushauri wenu

Una maana "Compitient = Competent" kwa uelewa huu kweli utatoa ushindani kwa Prof.Magembe au ndo style ya vijana (wagombea) ikifikia time za mwisho unajitoa na unajisalimisha kwa kuomba ufadhili kwa mpinzani wako ili kwenda kusoma ??? you need to rethink about your suitability (weakness) for the post and your competitor's strenghs;

Vinginevyo ni UKAWA Kulipoteza Jimbo kwa CCM bila sababu za Kimsingi.
 
Kwa kweli inabidi ukawa waliangalie hili kwa umakini zaidi maana ccm ni wahuni wanatumia kila njia kubaka demokrasia
 
Hakuna mahali popote pale duniani ambapo wazee ni asilimia kubwa kuliko vijana. Labda kama ndoa za huko kwenu hazikutoa matunda. Maana kila familia wanandoa wawili watazaa watoto, hivyo vijana watakuwa wengi tu. Hii ni kuhusu taarifa

Naomba utulize kichwa na usome nilichokiandika kwa umakini.Kisha rudi u-reply.
 
Back
Top Bottom