Nagombea ubunge Mwanga Kilimanjaro

Nagombea ubunge Mwanga Kilimanjaro

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
1,485
Reaction score
2,752
habar wana Jf,jimbo la mwanga ni jimbo ambalo lipo mkoa wa kilimanjaro limetawaliwa na ccm miaka yote kwa uwezo wangu nilionao vijana na wakinamama wameniomba nigombee ubunge katika jimbo hili kwa tiketi ya cdm,hakika jimbo hili linahitaji kijana ambaye ni compitient ili aweze kuwatoa sumu ambayo wananch wamepandikizwa,nayafaham vizur matatizo ya jimbo,mbunge wa sasa pro.magembe amekuwa mzigo katika jimbo hili.nakaribisha ushauri wenu
 
We sokoine si mmasai wewe? Mwanga ni kwa wapare
 
Wewe mbunge wetu ni Henry Kilewo.... Acha kudandia gari kwa mbele
 
Kumtoa Maghembe pale inahitajika nguvu ya ziada kwani ana mtaji wa kura zaidi ya asilimia 85.
Halafu ktk hili jimbo wapiga kura wengi ni wazee na wamama.Vijana ni asilimia ndogo sana.Jaribu bahati mkuu lakini anza kujiimarisha mapema manaake ile ni ngome ya CCM.
 
usimkatishe tamaa anaweza
 
exacly nimeupokea ushauri mkuu
 
Acha kudanganya watu au kuwapa wajinga flan matumain ya kuchukua jimbo hili! Fuatilia matokeo ya serikali za mitaa wilaya ya mwanga ili ujue cdm imechukua sehemu gani ili ujue kuwa maghembe ni ni mwepesi kulliko unyoya. Sisi hofu yetu ni tadayo tu! Hata hivyo karibu mzee tujenge chama kwanza kwenye muda ukifika tutakutana wana cdm wengi tutaamuliwa na kura za maoni ndani ya chama
Kumtoa Maghembe pale inahitajika nguvu ya ziada kwani ana mtaji wa kura zaidi ya asilimia 85.
Halafu ktk hili jimbo wapiga kura wengi ni wazee na wamama.Vijana ni asilimia ndogo sana.Jaribu bahati mkuu lakini anza kujiimarisha mapema manaake ile ni ngome ya CCM.
 
tushushie na CV yako pia tukujue wewe nani,elimu yako,umri wako na usijifiche nyuma ya ID fake njoo kamili tukujue
 
mikakati yetu na malengo ya kichama kuanzia kwa kamanda ndesamburo mwenyekit wa mkoa kill. tuna wagombea wawil tu na jina lako wew mnafik halipo ofisin kwetu hivyo nenda kwa lowasa na umwambie wiz sasa basss
 
Kwa mwanga hupati ng'ooo, labda tumia jina halisi ili nikujue wewe nani!!
 
Tadayo ndio anauwezo n watu wanaomsapot ni wazee bt tatizo maghembe anasaidiwa n serikal, ww sokoine kagombeee kwenu tuachie jimbo letu
 
Nadhani anayesema Maghembe hatoki haijui hali ya mwanga kwa sasa Maghembe is no more labda ccm wampitishe Tadayo ushindani utakuwa mkubwa...Na anayesema Maghembe ana mtaji wa kura labda anawaza miaka kumi iliyopita sio leo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Acha kudanganya watu au kuwapa wajinga flan matumain ya kuchukua jimbo hili! Fuatilia matokeo ya serikali za mitaa wilaya ya mwanga ili ujue cdm imechukua sehemu gani ili ujue kuwa maghembe ni ni mwepesi kulliko unyoya. Sisi hofu yetu ni tadayo tu! Hata hivyo karibu mzee tujenge chama kwanza kwenye muda ukifika tutakutana wana cdm wengi tutaamuliwa na kura za maoni ndani ya chama

Mjomba nini mategemeo yako kwenye uchaguzi ujao.
 
mikakati yetu na malengo ya kichama kuanzia kwa kamanda ndesamburo mwenyekit wa mkoa kill. tuna wagombea wawil tu na jina lako wew mnafik halipo ofisin kwetu hivyo nenda kwa lowasa na umwambie wiz sasa basss

nakushangaa sana mkuu mimi nimekijenga sanah chama kuanzia uchaguz wa serikali za mitaa,sio kukaa ofisini
 
Back
Top Bottom