Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,876
- 7,623
Ni hizi TAKATAKA za joined 2024 up to date 2026, hovyo kabisa, nyuzi zao zote ni upuuzi mtupu, ukifuatilia ni hawa madogo ambao wamemaliza shule majuzi, JF IMEFELI KUDHIBITI UBORA WAKE.Dah nimelia sana kutokana na ongezeko hili la kasi la vichaa humu JF
hali ikiendelea hivi hata wenye akili timamu watakukimbia humu kama ilivyo Kwa baadhi ya social nets (Facebook+insta).
Nyuzi za aina hizi utaona zinapata wachangiaji wengi mpaka unajiuliza nini kimeikumba Jamii forum?, kumbe ni vilaza wamepata access ya free internet+cheap devices kuingia humu kupost ushuzi