Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
Natafuta kazi kwenye department ya account. Nina CPA (T), uzoefu wa miaka nane kwenye field hii. Pia kama kuna anayetaka nimtengezee/kumfungia vitabu za mwezi wiki au vyote vile kwa ajili ya TRA, Auditing n.k pia niko tayari. piga simu no0753109803
Kuanzia 1.5m na kuendela kulingana na uzoefu wake kazini.Big up mkulu kwanza kwa kupata hiyo kitu CPT (T) maana nasikia inatolewa kwa kubaniana saana.Mkuu kama una licheti likubwa namna hiyo angalia nyanja za kimataifa sio bongo tu mfano hapo Arusha hao jamaa wa ICTR huwa wanaajiri sana angalia www.ictr.org pia jaribua kuangalia ajira zingine za UN utawini.
Hivi kwani sasa hivi mtu mwenye CPA(T) wanakinga kilo ngapi kwenye mashirika ya kawaida?
Pesa nyingi basi ila nakushauri angalia na hizi za UN sisi wabongo hatujaribu kule wanaijeria na waghana wamejazana sana UN.Nasikia Dubai kwa CPA yako hiyo unapetaKuanzia 1.5m na kuendela kulingana na uzoefu wake kazini.
Heading yako iko tofauti na dhamira yako. Umeeandika "Nafuta Kazi hapahapa Arusha account department" Omba Mod akurekebishie, maana nilidhani hupendi kuishi Arusha hivyo unafuta mkataba wa kazi ukiwa hapo hapo Arusha, kumbe unatafuta kazi.Natafuta kazi kwenye department ya account. Nina CPA (T), uzoefu wa miaka nane kwenye field hii. Pia kama kuna anayetaka nimtengezee/kumfungia vitabu za mwezi wiki au vyote vile kwa ajili ya TRA, Auditing n.k pia niko tayari. piga simu no0753109803
Ha! ha! ha! ha! Bubu una fixHeading yako iko tofauti na dhamira yako. Umeeandika "Nafuta Kazi hapahapa Arusha account department" Omba Mod akurekebishie, maana nilidhani hupendi kuishi Arusha hivyo unafuta mkataba wa kazi ukiwa hapo hapo Arusha, kumbe unatafuta kazi.
Ila safi sana "Biashara Matangazo"
Kuna jamaa mmoja alienda England na maembe akiwa na nia ya kuyauza. Kufika pale akayapanga kama kawaida huku akiyatangaza mangoes, mangoes, mangoes, bila mafanikio hadi ilipofika saa za mchana akajihisi njaa, akaamua kula embe moja. Wale wazungu wali-admire rangi nzuri ya embe mara walipoona jamaa anakula. Mmoja akamsogelea na kuomba auziwe moja baadaye wawili, watatu mia moja akawa amemaliza biashara yake palepale. BIASHARA MATANGAZO.
aise ulichoandika hapa, ni kweli au ulikuwa unafurahisha baraza.Ha! ha! ha! ha! Bubu una fix