Nafuta Kazi hapahapa Arusha account department

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,346
3,024
Natafuta kazi kwenye department ya account. Nina CPA (T), uzoefu wa miaka nane kwenye field hii. Pia kama kuna anayetaka nimtengezee/kumfungia vitabu za mwezi wiki au vyote vile kwa ajili ya TRA, Auditing n.k pia niko tayari. piga simu no0753109803
 
Safi sana kujitangaza ndio siri ya ushindi na mafanikio katika biashara ya soko huria..........
 
Natafuta kazi kwenye department ya account. Nina CPA (T), uzoefu wa miaka nane kwenye field hii. Pia kama kuna anayetaka nimtengezee/kumfungia vitabu za mwezi wiki au vyote vile kwa ajili ya TRA, Auditing n.k pia niko tayari. piga simu no0753109803

Big up mkulu kwanza kwa kupata hiyo kitu CPT (T) maana nasikia inatolewa kwa kubaniana saana.Mkuu kama una licheti likubwa namna hiyo angalia nyanja za kimataifa sio bongo tu mfano hapo Arusha hao jamaa wa ICTR huwa wanaajiri sana angalia www.ictr.org pia jaribua kuangalia ajira zingine za UN utawini.
Hivi kwani sasa hivi mtu mwenye CPA(T) wanakinga kilo ngapi kwenye mashirika ya kawaida?
 
Kuanzia 1.5m na kuendela kulingana na uzoefu wake kazini.
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia 1.5m na kuendela kulingana na uzoefu wake kazini.
Pesa nyingi basi ila nakushauri angalia na hizi za UN sisi wabongo hatujaribu kule wanaijeria na waghana wamejazana sana UN.Nasikia Dubai kwa CPA yako hiyo unapeta
 
mod nnaomba urekebishe heading isomeke natafuta badala ya nafuta miea nilizani ana madarka ya kwafutia watu kazi kumbe antafuta kazi
 
Natafuta kazi kwenye department ya account. Nina CPA (T), uzoefu wa miaka nane kwenye field hii. Pia kama kuna anayetaka nimtengezee/kumfungia vitabu za mwezi wiki au vyote vile kwa ajili ya TRA, Auditing n.k pia niko tayari. piga simu no0753109803
Heading yako iko tofauti na dhamira yako. Umeeandika "Nafuta Kazi hapahapa Arusha account department" Omba Mod akurekebishie, maana nilidhani hupendi kuishi Arusha hivyo unafuta mkataba wa kazi ukiwa hapo hapo Arusha, kumbe unatafuta kazi.
Ila safi sana "Biashara Matangazo"
Kuna jamaa mmoja alienda England na maembe akiwa na nia ya kuyauza. Kufika pale akayapanga kama kawaida huku akiyatangaza mangoes, mangoes, mangoes, bila mafanikio hadi ilipofika saa za mchana akajihisi njaa, akaamua kula embe moja. Wale wazungu wali-admire rangi nzuri ya embe mara walipoona jamaa anakula. Mmoja akamsogelea na kuomba auziwe moja baadaye wawili, watatu mia moja akawa amemaliza biashara yake palepale. BIASHARA MATANGAZO.
 
Ha! ha! ha! ha! Bubu una fix
 
hongera sana ndugu yangu kwa kujitangaza nahakika utapata kazi haraka iwezekanavyo kwani cheti unacho hata uzoefu wa kazi upo.
 
Just curious!!!
Unapataje CPA Tanzania???? what are the criterias????

Najua hapa U.S ni lazima uwe na Ba au Ma ndio unaruhusiwa kufanya mitihani ya CPA.
Kazi zake zinalipa vizuri sana....na ningekushauri kama ungeweza kuangalia na UN au makampuni ya nje.....au pia hata kufungua accounting firm kama umefuzu kwenye hayo masuala.
Kila la kheri.
 
Kama ni kweli alois soma magazeti kuna kazi nyingi tu mbaya zaidi wewe una cpa? utapata kazi tu alois usihofu ila bora umesema.
 
Ndugu Hannibal ; Kuhusu mada yako '' Unapataje CPA Tanzania???? what are the criterias????

Unafanya yafatayo;
1. Kama Una degree ya BCOM, au Accounts, au Advanced Diploma in Accountancy from any NBAA recognised University au Institution Then yO can register At NBAA office or any Tuition Provider recognised by NBAA. Halafu utaweza kufanya mitihani yao.
2. Kwanza Utafanya ya Module E then Module F kama you are capable enough unaweza kusit yote at Per!
Ukifaulu then NBAA wata Ku award CPA
 
Back
Top Bottom