NAFURAHIA MB ZISIZOISHA

GREAT NAME

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
932
1,249
Mb 200 tangu najiunga mwezi umeisha haijapungua hata mb moja,nazitumia kwenye nokia yangu ya tochi,fanya ujinga uweke kwenye smartphone hata dakika haiishi zimekata,
kwa ujinga wako umesoma hadi mwisho
 
ina android ngapi mkuu maana nokia kama hizo za tochi zenye android 7.0 zinamaliza mb hadi kero
 
Ndiyo hiyo simu unaitumia kuingia jf?mkuu

Kumraz nilisoma nipate kujua maajabu ya baundle kumbe ni hopeless aisee.
 
Back
Top Bottom