Nafunga hii account yangu, nimekuwa miss kupatwa na penzi

Mmmh,jamani!! Sasa lile chama ulosema utaanzisha itakuwaje??
 
We bwana wewe, Mapenzi yakikuendea kombo humu utarudi tu, wenzio tunatumia jf kutupunguzia punguzia machungu ya ndani maana kuna muda unaghadhibika sana ila ukiingia JF unajikuta tu unatabasamu
 
Awww nakupenda zaidi Mama yangu mwaka unaisha vizuri make sjawah kujutia kukufaham japo sijawah kukuona lakini hua unanifanya nicheke wallah I will miss you naomba id Yako mpya unambie ila ntakufaham tu kupitia mwandiko wako mana uko unique Sana
Mkuu ukikupa ID mpya nitonye, maana sisi ni dugu moja, kule kunani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom