Nafundisha Marubani kienyeji

ok ndege zenyewe ni hizi cessna msije mkazani kubwa kama fast jet au emirates
 

Attachments

  • images.jpg
    6.4 KB · Views: 180
nina kijana wangu nataka nimlete ili aweze kudevelop interest,ana 15years,nataka kujua your timings,actual cost per hour na exact location mtakayofanyia hiyo training,you can pm me no probs
hasa hasa nimelenga watu kama wewe
kwa faida ya wengi ngoja tumwage hapa
mafunzo haya si rasmi,sina chuo,hata atc hawanifahamu
lengo

ni kuwa ''impress'' watu mbali mbali hasa hasa ''junior aviators''
angalau wakae ndani ya ndege hata isiporuka akapiga picha humo akaelezwa ,tena kwa kiswahili hii ni nini na ina kazi gani itawajengea ukawaida wa hiki chombo na kukizoea kama vile gari..
Inshallah baadae akija kwenye mafunzo rasmi atakuwa anakumbuka na itakuwa si kitu kigeni kwake..
 
hiyo siyo secondary kitaa Urubani au urubuni? chuo kiko wapi au tuje kienyeji?
 
Last edited by a moderator:
naam practical tunaruka angani
kwa mfano
badala ya kumwambia mwanafunzi ''push the throttle'' nitamwambia ''kandamiza kaba.''
Aisee hiyo misamiati ni real au ni mapendekezo yako tu maana...strutt=Kipago na sasa Throttle=Kaba
 
Mbona mnabishana wakati mwalimu mzoefu wa urubani yupo?
Ngoja atatuambia ukweli uko wapi,,,
 
Mbona mnabishana wakati mwalimu mzoefu wa urubani yupo?
Ngoja atatuambia ukweli uko wapi,,,
Mkuu majibu ya Mwalimu na wachangiaje wengine mbona wameshayatoa...kwa msaada tu ni haya hapa chini!
kwa ndege hizi kila kitu chaingia wala hakuna msala,tena dirisha unaweza kufungua na kufunga.
inapitisha mkuu,tumelenga videge vidoko a.k.a panzi......
Ndege ndogo ndogo kama hizi haziruki umbali wa kufikia kuhitaji pressurization (nenda kagoogle hii). In short kwa umbali wa ndege ndogo kwenda juu hata wakitaka kuruka milango wazi wanaweza. So hiyo habari bado inaweza kuwa kweli kabisa.
Mkuu nakubaliana na ww kabisa,alafu jamaa kakariri vibaya sana hajui kua kuna ndege aina tofauti tofauti.Hivo vi cessna vinapaa attitude ndogo sana kwaiyo hata hiyo presha ya kufanya ndege ianguke kikifunguliwa dirisha haipo.
 
Kama ndege zenyewe ndio hizo,,,,kwa upande wangu,,naomba tuanze namafunzo yakuruka na parachuti,,,alafu ndio tuje kwenye mafunzo yenyewe,,hatariiiiiiiiiiii
 
na mimi nimo (count me in) nina miaka 25 ila hiyo practical naiogopa isije ikashindwa kurudi airport au kutua. Ila sipati picha nikiwa angani kwenye practical
 
Hiyo ndege ni yanani? kama ni yako ulitoa pesa wap? kama ni ya taasisi kwanini unataka kuwafilisi? maana naamini cku mwanafunzi wako akirusha ndege bac atatokomea hewani mazima.

Hahahaha.........
 

Mkuu hayo Ñî mafunzo ya ndege kienyeji.
Mafunzo yanatolewa kwa lugha ya kienyeji.
Na Mwalimu Ñî wa kienyeji.
 
na mimi nimo (count me in) nina miaka 25 ila hiyo practical naiogopa isije ikashindwa kurudi airport au kutua. Ila sipati picha nikiwa angani kwenye practical
usihofu sana utazoea tu.
Nitakuandaa kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…