Nafundisha Marubani kienyeji

kuendesha ndege ni rahisi sana kuliko kuendesha lori lenye treila na gia za high range na low range pamoja na sprinter.1.pia ni rahisi kuliko ku operate grader.
Ila ndege inatukuzwa tu.
 
Hahaaaa Mkuu umenifurahisha sana, mi nakuambia sina hamu nazo, sasa nikuchekeshe mle ndani tulikuwa na mama mmoja yeye uso mzima kajifunika khanga kwa uoga, sasa tumeshafika Mafia tushaiona lami ya uwanja ye badala ya kutua anaanza kupiga misele kule juu...dah nilitamani nimrukie kooni, ye badala ya kuishusha anapiga makona misele kibao..!!
 
kuendesha ndege ni rahisi sana kuliko kuendesha lori lenye treila na gia za high range na low range pamoja na sprinter.1.pia ni rahisi kuliko ku operate grader.
Ila ndege inatukuzwa tu.
Dah mkuu the way unavyojibu seems everything is ease go yaani...nakutamanije!!
 
Ha ha ha........wisky alpha papa echo november alpha kilo india tango uniform charlie hotel alpha .........charlie echo siera siera november alpha 208.............wafurahi........
roja roja........over.......

november oscar tanga echo delta mike alpha delta alpha mike
Kwahiyo mmeamua kutupoteza kabisa si ndio?...:angry::angry::A S-devil4::A S-devil4:
 
If you want this to be productive, tell us the costs per hour please, acha kuficha bei sana hivo! Kila mtu anaulizia bei na umekimya tu sioni ukilijibu hilo swali. Mbona unalikwepa? is it too expensive ama ni kwa nini unayajibu maswali mengine ila ikifika kwa the most important question about costs umekimya tu? Dont PM me, weka bei hapa ili kila mtu ako interested aweze kujua.
 
bei ya nini shehe?
 
Nina dogo anapenda sana hiz makitu, ngoja nitafanya mpango nimlete!
 

Bei ya nini mkuu.......?.......Caravan au Costa..........?......
 
Nahitaji sana urubani. Natakiwa kulipia tsh ngapi.?
 
Mkuu unakwenda mbio sana polepole mbele kuna mashimo
kuendesha ndege ni rahisi sana kuliko kuendesha lori lenye treila na gia za high range na low range pamoja na sprinter.1.pia ni rahisi kuliko ku operate grader.
Ila ndege inatukuzwa tu.
 
Acha uongo wa kipumbavu wewe,ndege haiwezi kupitisha maji wakati mkiwa angani wakati wa mvua,then mkabaki salama,imekuwa fuso hiyo? Ndege hata dirisha tu halitakiwi kufunguliwa,kuna hewa ndani ya oxgen maalumu,sasa hayo maji yalipita wapi?

Hii ni mara nyingine nakuona unatoa lugha chafu kwenye kujibu hoja... Inakusaidia nini? Saa nyingine kukaa kimya ni hekima. Kitu chenyewe hujui badala usubiri ueleweshwe unatoa lugha ya kebehi.

Sasa wasome Great Thinkers wenye busara zao hapa chini.

Naendelea kukutakia safari njema ya kuelekea kuwa WISEMAN. Huu uboy unakusumbua sana.



Na hicho ndo kidirisha kikichovuja maji...ukizoom vizuri utaona matone kwa pale chini...sasa ukiendelea kubisha nitakudharau sana!! wiseboy


Mkuu nakubaliana na ww kabisa,alafu jamaa kakariri vibaya sana hajui kua kuna ndege aina tofauti tofauti.Hivo vi cessna vinapaa attitude ndogo sana kwaiyo hata hiyo presha ya kufanya ndege ianguke kikifunguliwa dirisha haipo.
 
nahitaji sana urubani. Natakiwa kulipia tsh ngapi.?
masomo ya ardhini nakupeni bure,
angani unaleta mchango wa mafuta halafu,
utanifikiria angalau cha kuwapelekea wajukuu zangu.
 
masomo ya ardhini nakupeni bure,
angani unaleta mchango wa mafuta halafu,
utanifikiria angalau cha kuwapelekea wajukuu zangu.

Count me in. Niambie tunaanza lini ili nijipange kutoka huku A - town
 
masomo ya ardhini nakupeni bure,
angani unaleta mchango wa mafuta halafu,
utanifikiria angalau cha kuwapelekea wajukuu zangu.
Nina kijana wangu nataka nimlete ili aweze kudevelop interest,ana 15years,nataka kujua your timings,actual cost per hour na exact location mtakayofanyia hiyo training,you can pm me no probs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…