Preta ....za masiku aisee, Chuga hawajambo huko? Mi nilikaa hapo nyuma ya PilotHalafu nshakujua..........wewe ni huyo hapo kulia..........
siku nyingine usipande hizo ndege kama una presha ya turbulance utakufwa you know............me I don't like them panzi........
Then in case nimelibwaga au kugonga ntakuwa responsible au vp???
zile za icao hazitabadilika from alfa to zulu na nyinginezo za kitaalamu,sehemu ya maelezo nitatumia kiswahili,chombo ni cessna 150 hii ni kumpeni mwanga halafu akutaka kuendelea unasogea kwenye shule rasmi.mkuu kuhusu cv yangu usijali,mie ni mkongwe toka enzi za east africa airways na kina capt.uriyokwanza mwaga cv yako[pamoja na masaa uliyokuwa nayo ikiwemo type rating.vile vile ni ndege ya aina gani utatumia kwa mafunzo hayo?
Halafu kwenye aviation lugha rasmi kwa hapa kwetu ni kiingereza sasa ukifundisha hao wanafaunzi wako kwa lugha ya kishwahili watakuwa wanatumia lugha gani na waongoza ndege wakati wakiwa mafunzoni angani
taarifa pamoja na ufafanuzi unaweza kusaidia kupata wateja
zile za icao hazitabadilika from alfa to zulu na nyinginezo za kitaalamu,sehemu ya maelezo nitatumia kiswahili,chombo ni cessna 150 hii ni kumpeni mwanga halafu akutaka kuendelea unasogea kwenye shule rasmi.mkuu kuhusu cv yangu usijali,mie ni mkongwe toka enzi za east africa airways na kina capt.uriyo
shehe ndege hii ni gharama nafuu kuliko coasterhiyo ndege ni yanani? kama ni yako ulitoa pesa wap? Kama ni ya taasisi kwanini unataka kuwafilisi? Maana naamini cku mwanafunzi wako akirusha ndege bac atatokomea hewani mazima.
inapitisha mkuu,tumelenga videge vidoko a.k.a panzi......acha uongo wa kipumbavu wewe,ndege haiwezi kupitisha maji wakati mkiwa angani wakati wa mvua,then mkabaki salama,imekuwa fuso hiyo? Ndege hata dirisha tu halitakiwi kufunguliwa,kuna hewa ndani ya oxgen maalumu,sasa hayo maji yalipita wapi?
Bora usaidie kujibu haya mambo manake hawa watu sijui wanaifikiriaje ndege yaani, hawajiongezi kabisa aisee!! Its shamekwa ndege hizi kila kitu chaingia wala hakuna msala,tena dirisha unaweza kufungua na kufunga.
Ili wawe marubani deiwaka pale jknia.ili waendeshe ndege kienyeji?
Na hicho ndo kidirisha kikichovuja maji...ukizoom vizuri utaona matone kwa pale chini...sasa ukiendelea kubisha nitakudharau sana!! wiseboy
Bora usaidie kujibu haya mambo manake hawa watu sijui wanaifikiriaje ndege yaani, hawajiongezi kabisa aisee!! Its shame
shehe ndege hii ni gharama nafuu kuliko coaster
sikununua mpya
zile za icao hazitabadilika from alfa to zulu na nyinginezo za kitaalamu,sehemu ya maelezo nitatumia kiswahili,chombo ni cessna 150 hii ni kumpeni mwanga halafu akutaka kuendelea unasogea kwenye shule rasmi.mkuu kuhusu cv yangu usijali,mie ni mkongwe toka enzi za east africa airways na kina capt.uriyo
Ndege bei nafuu kuliko costa.?
november oscar tanga echo delta mike alpha delta alpha mikeha ha ha........wisky alpha papa echo november alpha kilo india tango uniform charlie hotel alpha .........charlie echo siera siera november alpha 208.............wafurahi........