Nafundisha Gitaa bure!

Nafundisha Gitaa bure!

Uko Mkoa gani Mkuu, mimi nipo Mwanza na nahitaji sana hiyo kitu, na nina gitaa la Mzee wangu lkn hakuwa na muda wa kunifundisha
Mie nipo Dar mkuu. Ila unaweza kujifunza mwenyewe pia kwa njia ya Youtube. Nikija Mwanza natkuja nione kama bado umeitunza vizuri hiyo hazina ya Baba!
 
Rudisha mapenzi kwenye Gitaa mkuu. Moja ya faida ya Gitaa ni kwamba halihitaji umeme...muda wowote kazi tu!

Ni kweli mkuu, gitaa nililonalo ni lile lisilotumia umeme ila tatizo ni kuumia vidole. Ila Preta amejitolea kunifundisha kwa njia ya kupapasa
 
We jamaa Mungu Akubariki sana yaan kama umeniona! Unaishi dar sehem gn rafiki?..mi nipo k'mbon
 
We jamaa Mungu Akubariki sana yaan kama umeniona! Unaishi dar sehem gn rafiki?..mi nipo k'mbon
 
Mkuu mie nipo Dar! kama una nia kweli, jipange ununue Gitaa then jifunze kupitia Youtube. Kuhusu uke mzigo, nilikosa mtu so nikaamua bora nikajinunulie Gitaa tu.
ulinunua ngapi mkuu? unaweza weka sample?
 
Wadau,

Leo nimefanikiwa kununua Gitaa langu la kisasa kwa pesa yangu, nimefurahi sana! Nilianza kupiga Gitaa nikiwa darasa la tano shule ya msingi hadi leo nimeshamaliza chuo, nina familia...bado naendelea kupiga Gitaa! Nilifundisha kwaya nyingi sana jijini Mwanza miaka ya 2006 - 2010.

Natangaza nafasi ya bure kwa anayetaka kujifunza Gitaa. Nilifundisha wengi na leo najivunia kuwa na vijana wangu wanapiga mzigo kwenye makanisa mbalimbali jijini Mwanza na wachache hapa Dar. Kama kwako ni mbali basi utakuwa unanigharamia nauli. NiPM kama uko interested.

Hii ni Hobby nzuri sana kwangu, mke wangu akinuna tu nashika Gitaa langu...baada ya dakika kadhaa mara naona tabasamu kuuuubwa hadi raha! JIFUNZE GITAA.
Unapatikana wapi hapa Dar?
 
Mie nipo Dar mkuu. Ila unaweza kujifunza mwenyewe pia kwa njia ya Youtube. Nikija Mwanza natkuja nione kama bado umeitunza vizuri hiyo hazina ya Baba!
Nawezaje kujifunza kwa Youtube !?
 
Mkuu mie nipo Dar! kama una nia kweli, jipange ununue Gitaa then jifunze kupitia Youtube. Kuhusu ule mzigo, nilikosa mtu so nikaamua bora nikajinunulie Gitaa tu.

GITAA LINAUZWA BEI GANI , KAMA VIPI NI PM ,
 
Dah nataman sana nijifunze gita pamoja na kinanda bt ndo hvo tatzo nipo mbali sana na upeo wa macho yako, safar yangu ni kutaka kuja kuwa music producer. Mungu nisaidie.
 
Back
Top Bottom