The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,509
- 5,086
mkuu inauzwaga shilingi ngapi nna ndoto ya kununua aisee.....Rudisha mapenzi kwenye Gitaa mkuu. Moja ya faida ya Gitaa ni kwamba halihitaji umeme...muda wowote kazi tu!

Wadau,
Leo nimefanikiwa kununua Gitaa langu la kisasa kwa pesa yangu, nimefurahi sana! Nilianza kupiga Gitaa nikiwa darasa la tano shule ya msingi hadi leo nimeshamaliza chuo, nina familia...bado naendelea kupiga Gitaa! Nilifundisha kwaya nyingi sana jijini Mwanza miaka ya 2006 - 2010.
Natangaza nafasi ya bure kwa anayetaka kujifunza Gitaa. Nilifundisha wengi na leo najivunia kuwa na vijana wangu wanapiga mzigo kwenye makanisa mbalimbali jijini Mwanza na wachache hapa Dar. Kama kwako ni mbali basi utakuwa unanigharamia nauli. NiPM kama uko interested.
Hii ni Hobby nzuri sana kwangu, mke wangu akinuna tu nashika Gitaa langu...baada ya dakika kadhaa mara naona tabasamu kuuuubwa hadi raha! JIFUNZE GITAA.
Kie Kie Kie Kie mkuu pattern za diblo hazikamatikiGitaa na nundu ya vidole hakuna namna upo wapi Mkuu nitaweza kweli kucharaza gitaa kama Diblo Dibala?
Najaribu kk pm inataa mkuuWadau,
Leo nimefanikiwa kununua Gitaa langu la kisasa kwa pesa yangu, nimefurahi sana! Nilianza kupiga Gitaa nikiwa darasa la tano shule ya msingi hadi leo nimeshamaliza chuo, nina familia...bado naendelea kupiga Gitaa! Nilifundisha kwaya nyingi sana jijini Mwanza miaka ya 2006 - 2010.
Natangaza nafasi ya bure kwa anayetaka kujifunza Gitaa. Nilifundisha wengi na leo najivunia kuwa na vijana wangu wanapiga mzigo kwenye makanisa mbalimbali jijini Mwanza na wachache hapa Dar. Kama kwako ni mbali basi utakuwa unanigharamia nauli. NiPM kama uko interested.
Hii ni Hobby nzuri sana kwangu, mke wangu akinuna tu nashika Gitaa langu...baada ya dakika kadhaa mara naona tabasamu kuuuubwa hadi raha! JIFUNZE GITAA.
Kama upo. Mwanza galatone ni. Sh laki moja na 40mkuu inauzwaga shilingi ngapi nna ndoto ya kununua aisee.....
Wadau,
Leo nimefanikiwa kununua Gitaa langu la kisasa kwa pesa yangu, nimefurahi sana! Nilianza kupiga Gitaa nikiwa darasa la tano shule ya msingi hadi leo nimeshamaliza chuo, nina familia...bado naendelea kupiga Gitaa! Nilifundisha kwaya nyingi sana jijini Mwanza miaka ya 2006 - 2010.
Natangaza nafasi ya bure kwa anayetaka kujifunza Gitaa. Nilifundisha wengi na leo najivunia kuwa na vijana wangu wanapiga mzigo kwenye makanisa mbalimbali jijini Mwanza na wachache hapa Dar. Kama kwako ni mbali basi utakuwa unanigharamia nauli. NiPM kama uko interested.
Hii ni Hobby nzuri sana kwangu, mke wangu akinuna tu nashika Gitaa langu...baada ya dakika kadhaa mara naona tabasamu kuuuubwa hadi raha! JIFUNZE GITAA.
mwanza sehemu ganiKama upo. Mwanza galatone ni. Sh laki moja na 40
Inawezekana mkuusamahani mkuu ivi kwa mfano Una vidole vitatu vya mkono wa kushikia nyuzi....nina maana mkono wa kushoto,je ,Unaweza ukalipiga Hilo guitar maana Nina rafiki yangu kidole kimoja hakipo alafu anatamani kulipiga...