Nafokewa na mchumba

Anakufokea bila sababu au?
Toa maelezo ya kutosha ushauriwe vizuri.
 
Na wewe mfokee ili muwe droo! Ha ha haaa! Kwa nini anafoka? Wewe ni mchokozi hadi akufokee? Hurekebishiki? Huyo ni she au he?! Yaani hujaeleweka kabisaaaaa.... W'kend njema!
 
Kuna wanawake wengine ndio walivyo so nakushauri epuka kufanya vitu ambavyo vitamfanya afoke na pia akifoka kuwa mpole na muulize kwa upole kitu kilichomfanya awe hivyo
 
Usisikilize bana we kuwa mpole akikufokea uwe una nywea tu na kuomba msamaha atakupenda zaidi!!!!hahahahahahahahaha
 
wazaramo wanaita gubu kama sijakosea, sasa wewe unataka ushauri halafu hauleti full story maana yake nini?
 
Humfikishi vizuri! jipange vizuri umfikishe ikiwezekana ongeza majonjo atakuheshimu na utafurahia. Pili, jaribu kubadili namna ya uvaaji wako kama hupendi kupendeza sana basi jaribu ataanza kuwa na wivu na hata leta upupu wake. Nimejaribu tu kugues ulichoandika, bora ungemwaga vyote hapa tupate wapi pakuanzia. Weekend njema, naona ulishasepa naye.
 
Mwanamke kufoka sio tabia nzuri,jaribu kumuuliza kwa upendo atakueleza,wakati unamuuliza tafuta ule muda ambao anafuraha kisha umuulize kwa upendo sababu ya kufoka,kama anakupenda na kukujali atakuambia!
 
Kuna wanawake wengine ndio walivyo so nakushauri epuka kufanya vitu ambavyo vitamfanya afoke na pia akifoka kuwa mpole na muulize kwa upole kitu kilichomfanya awe hivyo


This is good advice lakini inataka moyo, kwa maana usipoangalia utakuwa mtumwa! Lakini pia ujue, kwa nini uanfoka? Kingine, most importantly, will it be your trend of for the rest of your life?
 
Swali hujamalizia vizuri. Kwanini, kwa sababu gani? Tangu lini? Nk. Na ukomage kuwa mpole
 
Mpige chini anakufanya kama Vibarua,baada ya kuona hueliwi mifokeo yake ataanza Kukutwanga
 
Akifoka we toka nje ni ngumu mtu kukufata nje na kukufokea.
 
Mwambie akikufokea tena unakunywa sumu hatorudia tena na akirudia kunywa kweli ufe, umkomoe kwani atakosa fa*a mwingine wa kumfokea kama wewe :glasses-nerdy:!!!
 
Mpenzi wangu huwa ananifokea sana, nifanyeje?
A well known problem is half solved.there must b a reason/reasons,ungesaidika sana kama ungepambanua labda anafanya hvyo wakat gani au katka situation gan,, kama anafoka tuuu,,mmh psychologist might solve that or provide you with apropriate solution
 
Back
Top Bottom