nafisi yangu inachoka na maisha yangu!!!!!!!!!!!!!!

,,usiendekeze moyo unavyokutuma usiposhinda unabudi kuumiaaa utawajibika kitanzi pasipo huruma,,yaani sio ww tu nawalaumu wanawake wotee wanaojiingiza katika mapenzi ya kudanganywa we jitu lisha kwambia ana mke we unajipeleka si unatafuta mateso ya moyo,sasa hapo bado hajakupa mzigo wa mtoto utalia mpaka uone dunia chungu, hauta ona raha ya maisha hata kidogo utailaumu nafsi yako kuliko unavyojilaumu sana tafuta mtu muaminifu asiye na mke ili uanze maisha ya furaha hata ukipata mtoto unajisikia raha mtoto anavyocheza na baba yake,wanaume waongo sana wanawake mnatakiwa muwe makini na watu hawa utasikia hoo unajua mi mke wangu simpendi nimelazimishwa, au ananionea, au hoo kwanza dini zetu tofauti ilamradi uongo tu wa kutaka kuharibu maisha ya watu nawachukia sana wanaume wa tabia hii, washawatia wanawake wengi katika matatizo,achana nae jambazi la mapenzi hilo
 
Back
Top Bottom