Mbwichichi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 347
- 1,843
kwa kipato hicho na majukumu hayo, kujenga kunahitaji mkakati madhubuti..🙌Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi.
Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine.
Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa mwaka.
Ninapoishi kodi ni 100,000/= kwa mwezi.
Naomba mawazo.
Mimi nilianza hivi, niliongea na rafiki yangu akanipigia hesabu yaNina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi.
Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine.
Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa mwaka.
Ninapoishi kodi ni 100,000/= kwa mwezi.
Naomba mawazo.
Hata asingepata mimba mkuu, wa nini tena! Zaidi angefaa kwa matumizi ya dharula tu, mbali mbali, baaasi!Eti alituma wazazi waje watupatanishe wakati nikijua alipata mimba ikaharibika sijui alitoa.
Hahahaaa hata matumizi ya dharura kwangu hakufaa tena. Labda kwa wengine.Hata asingepata mimba mkuu, wa nini tena! Zaidi angefaa kwa matumizi ya dharula tu, mbali mbali, baaasi!
Watu kama nyie mliopata ka bahati na kuajiriwa huwa mnajifanya wazarendo na kuipigania ccm kwa mapenzi makubwa.....ila mkiwa ma jobless mnakuwa na uchungu mkubwa.Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi.
Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine.
Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa mwaka.
Ninapoishi kodi ni 100,000/= kwa mwezi.
Naomba mawazo.
Hata mbwa huwa huwa anampigia magoti anayempa chakula na kumbwekea asiyempaWatu kama nyie mliopata ka bahati na kuajiriwa huwa mnajifanya wazarendo na kuipigania ccm kwa mapenzi makubwa.....ila mkiwa ma jobless mnakuwa na uchungu mkubwa.
kwahiyo kosa letu ni lipi mkuu?Watu kama nyie mliopata ka bahati na kuajiriwa huwa mnajifanya wazarendo na kuipigania ccm kwa mapenzi makubwa.....ila mkiwa ma jobless mnakuwa na uchungu mkubwa.
kiwanja kipo tayari, ni kibahaKiwanja unacho au Hauna?
nyumba ya vyumba viwili vya kulala ila yenye nafasi ya kutosha kidogo,siyo ndogo kama fume chamberUna plan kujenga nyumba ya ukubwa gani?kiwanja u nacho? Wapi ujenzi unafanyika?
Duh!Watu kama nyie mliopata ka bahati na kuajiriwa huwa mnajifanya wazarendo na kuipigania ccm kwa mapenzi makubwa.....ila mkiwa ma jobless mnakuwa na uchungu mkubwa.
Ukiweza kusave laki 5 Kila mwezi, una uwezo WA kujenga bila stress wala mikopokiwanja kipo tayari, ni kibaha