Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 21,760
- 46,710
Naona kama wanaomfananisha na Messi ni wanaomsifia Messi. Embu fanya utafiti, huenda sipo sahihi.Mbona hata Messi ana umri mkubwa miaka 38 mkuu ni midogo? Lakini anafanya vitu vyote assist na kufunga kitu ambacho usichojua Messi ana natural talent ambayo inamfanya afanye vyote kwa pamoja hata akifika huo umri maana tofauti yao ni miaka miwili tu. Na Mimi sijasema Kama Ronaldo ni mchezaji mbaya ni mchezaji Bora naheshimu Hilo kutokana na mambo alivyofanya kwenye mpira ikiwemo kufunga 950+ goal lakini ukija kumfananisha na Messi ndipo watu wanapoharibu kwasababu Messi ni full package ya mchezaji ni sawa na Leo hii umfananishe Ronaldo De Lima na Hallaand ni kuukosea mpira heshima ingawa Hallaand ana goal nyingi lakini Ronaldo De Lima ni striker mwenye package ya kipekee hakupi magoal pekee sanaa yake ya mpira ndio inayomtofautisha na ma strikers wengine hiyo ndio maana kuitwa bora
Naona kama wengi wanaomsifia Messi wanamtaja Ronaldo, ila wanaomtaja Ronaldo hawamtaji sana Messi. Am i wrong?