Nafikaje udsm(main campus)

Panda Shuttle hapo Mabibo Hostel zitakushushia Utawala.

Ukishuka, vuka barabara nenda zako upande wa pili, na hapo utakuwa umefika UDSM Main Campus, recently, panajulikana kama Mwalimu Nyerere Mlimani Campus
 
Ni jinsi utakavyopatana na huyo mwenye bajaji, lakini 5,000/= ndiyo fair price. Kama wewe ni mwanafunzi unaenda kuanza masomo pale inabidi ufanye utaratibu wa kutafuta pa kulala kwa siku hiyo ili kesho yake ukaanze mchakato wa kupewa pa kuishi

Achukue pikipiki ni buku tu au bajaji itakua buku 2 au 3.
 
Kweli kabisa wageni tunapata shida..ticha uje unipokeage siku nkija dar
 
Mkuu bora azunguke tuu, umpitishe tena kariakoo si balaa hilo ngoja atulie kwanza
 
Ukishafika Ubungo, ushafika Udsm. Udizim ipo 'hapo hapo' Ubungo.

Panda Shuttle hapo Mabibo Hostel zitakushushia Utawala.

Ukishuka, vuka barabara nenda zako upande wa pili, na hapo utakuwa umefika UDSM Main Campus, recently, panajulikana kama Mwalimu Nyerere Mlimani Campus

Munayosema Ni Sawa Kwa Mimi Na Nyinyi!
Lakini Huyu Mwenzenu Anatokea TUNDUMA kwahiyo DAR atafika SAA 2 au 3 usiku Kwani atafika MLANDIZI saa 11 jioni, Lakini Kutoka Hapo MANDIZI Foleni iliyopo Basi KIMARA atafika Saa 2 usiku, Kutoka Kimara Mpaka Ubungo Kulingana Na Foleni anaweza Fika Saa 2½ au 3 usiku.
Sasa Muda huo Atafikaje UDS?
 
Huo Ujanja Wake Wote Wa Tunduma Hawezi Kuufanya Dar tena Hata Kule Tegeta Hawezi Kuufanya achiliambali Ubungo.

Tena Kibaya Zaidi Ole Wake Akifika Ubungo Aibiwe Simu! Hapo Nakuhakikishia Ataondoka na Boxer tu pamoja na Korodani Zake.
Hahaha asee Kop umenichekesha sana [emoji23] [emoji23]
 
Alale ndani ya basi. Kukikucha anakanyaga tu hapo mpaka UDSM!
 
Pa kufikia nmeshapapata kuna ndugu atanipokea ye anakaa toangoma.
Sasa ndo natak kujua kwamb nkishakuwa hapo toangoma labda napand magar ya wap mpk wapi ili nifike huko main campus
Ukiwa Ubungo kufika main Campus ni Easy tu Ghorofa za Udsm zinaonekana tu
 
Khaaaa toangoma palefu nahisi iyo ipo kongwe mbagara sasa unapanda gar toka kongowe mpka mbagara then mbagara panda za mbgara makumbusho shuka makumbusho chukua za makumbusho mbenzi au gongoramboto shuka magufuli hostel
Apande Mbagala Simu2000 then Simu 2000 to Udsm
 
Alale ndani ya basi. Kukikucha anakanyaga tu hapo mpaka UDSM!

Mimi Ninaposafiri Kikazi Kwenda Mikoani Na Kurudi basi Hata Kama Nitaingia Ubungo Saa NNE Usiku Basi Huwa Ninasepa tu kitaa.
Hili la Kulala Ubungo Ndani Ya Basi Sijawahi Kulisikia Je Wanaruhusu Mkuu?
 
Mimi Ninaposafiri Kikazi Kwenda Mikoani Na Kurudi basi Hata Kama Nitaingia Ubungo Saa NNE Usiku Basi Huwa Ninasepa tu kitaa.
Hili la Kulala Ubungo Ndani Ya Basi Sijawahi Kulisikia Je Wanaruhusu Mkuu?
Sasa kama huna pa kwenda usiku huo utaenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…