D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,193
- 3,325
WAKUU
Leo Nimeona tangazo la walimu wa kiswahili wanahitajika Marekani
SIFA
Uwe umesomea ualimu wa kiingereza pia nimeona ambao wapo chuoni wanapokelewa ingawa sijaelewa kwanini Uwe umesomea kiingereza ilhali unaenda kufundisha kiswahili.
Uwe kijana
Usiwe mjamzito
Pia utaenda bila familia wala wategemezi ingawa watagharamiwa kuja kukutembelea msimu wa sikukuu tu
=======
Are you an English teacher? Would you be willing to teach Kiswahili for ten months in the U.S. in a secondary school or university? If so, you might be a great candidate for Fulbright’s FLTA program.
The Office of Public Affairs at the American Embassy Dar es Salaam accepts applications now, for more information visit Foreign Language Teaching Assistant Program (FLTA) | U.S. Embassy in Tanzania