Nafasi za udereva saudia Arabia

KIDESELA

Senior Member
Sep 26, 2011
149
91
Kama kichwa kinavyosoma hapo, kuna nafasi za udereva kwa wahitaji nchini Saudia Aabia, gari ndogo na malori,

Kwanza uwe na leseni ya hapa nchini, passport kubwa, na kuna malipo unalipia,
Mkataba miaka 2, free insurance +chakula+ kulala

Mshahara ni malori laki 7 na nusu + trip allowance light car laki 5.5 without trip allowance

Vyuma vimekaza anaejiweza mcheki kwa whataap huyu bwana +255715432626 nimewasilisha
 
Yaani niende kuendesha Gari nchi nyingine Kwa laki Saba itakuwa uchizi huo Mkuu hiyo hela ni ya mandazi sana wala sio mshahara wa kimataifa huo
 
Yaani umchukue kijana wa watu ukamtumikishe kwenye nchi ya waarabu kwa mshahara wa laki 7 ambao hata dereva wa lori za IT analipwa zaidi ya huo tena!!!! Mbaya zaidi huyo mtu anakulipeni na nyinyi..Be serious guys.
 
Huyo dalali anakula ganji tu
Mishahara ya kima cha chini nchini SAUDI ARABIA ni RIAL 1200 sawa na Milion na nusu ya hapa TZ
Tena madereva wa maroli huko ndio wanaokula bata hasa
Mishahara yao inaanzia RIAL ELF 10 na kuendelea
Tatizo kuipata leseni ya udereva wa maroli kwa huko ndio kimbembe
Labda uwe na INTERNATONAL DRIVING LICENCE utoke nayo huku huku Tz
 
Kwa majina Naitwa Odax Alex,
Jinsia: Mme
Umri:24
Kabila:Haya
Elimu:Form iv
Fani: Dereva
Madaraja: A, A2, B, D ,E
Shule: REGIONNAL VETA Dar, Chang'ombe
Ufaulu: 'A' for 4 subject and 'B' 2
Uzoefu: Miaka 2..
Naishi Dar ilala nipo teyari kufny kaz mkoa na mahali ndani ya Tz, iwe personal driver au commercial vehicles.. Blessed 0657 230355 whatsup, calls and texts.. Or email: Kasitaodax@gmail.com
 
Kama kichwa kinavyosoma hapo, kuna nafasi za udereva kwa wahitaji nchini Saudia Aabia, gari ndogo na malori,

Kwanza uwe na leseni ya hapa nchini, passport kubwa, na kuna malipo unalipia,
Mkataba miaka 2, free insurance +chakula+ kulala

Mshahara ni malori laki 7 na nusu + trip allowance light car laki 5.5 without trip allowance

Vyuma vimekaza anaejiweza mcheki kwa whataap huyu bwana +255715432626 nimewasilisha

Hapa ndio muhimu zaidi.Hayo mengine ni njia ya kumuelekeza mbuzi qibla
 
Back
Top Bottom