isackkallindi
Member
- Jan 10, 2014
- 25
- 21
Ni biology na chemistryMathematics inakuwa na 750,000 biology 920,000 imekaaje basi?
Load ni ileile.Ni biology na chemistry
Wapuuzi mnataka watu waende teachers junction hamna lolote,Naomba mwalimu anaeteka kufundisha shule za private mkoani wa pwani.
Shule iko Kongowe mbagala inahitaji biology chemistry
Offer ni nyumba na chakula cha asubhi na mchana.
Mshahara ni 840, 0000/ mpaka 920, 000/
Nyingine iko Bagamoyo pwani.
Awe na mathematics
Mshahara 700, 000/ hadi 750, 000/
Aliekuwa tayari kuifanya awasiliane na Teachers Junction
Teachers Junction is an organsation which provides networks between Teachers and schools.
In one way we pave ways for teachers to get schools of their achelion on the second side we help school to achieve its mission and vission with strategies knowlge and strategies.
For more information
E-mail :
teachersjunction@hotmail.com
Call: +255713 810857
+255753 810857
Dar es saama
Coast
Morogoro
Wale ni matapeli mkuu tena utashangaa mamlaka zetu haziko serious zimewapa leseni na vibari vyoteKuweni makini na hawa teachersjunction mwaka jana walileta Tangazo waliochukua mawasiliano wakarudi kulalamika humu..
Inawezekana wamejirekebisha ila mwaka jana walizingua.
Duuh..kumbe hadi unawajuaWale ni matapeli mkuu tena utashangaa mamlaka zetu haziko serious zimewapa leseni na vibari vyote
Yaani nawajua in and outDuuh..kumbe hadi unawajua
Wapuuzi mnataka watu waende teachers junction hamna lolote,
Hawa teachers junction wanachofanya ni kuhakikisha kila anayefika kwao anajisajili na kutoa ada kama 10,000 TZS kisha wanampotezea, sasa kwa kawaida nafasi kama hii watajitokeza watu hata 50 na wote watatoa ada ya kujisajili.
Mwanajamii forums kua makini na teachers junction, ukiamua kutafuta shule tafuta kivyako usiende kwa hawa jamaa utapoteza muda na pesa ya ada na nauli za kila siku.
Nawajua vema hawa jamaa hunidanganyi kitu kiongozi wao anaitwa Nchama jamaa flani mfupi ana mwili mdogo mdogo, nje ya ofisi yao kuna gari kubwa (basi) limepaki la miaka mingi sidhani kama lilishatoka, ni karibu na kituo cha polisi Magomeni.
Nilifika pale 2014.
Nakushauri Mr. Nchama tafuta kazi nyingine awamu hii hakuna kuishi kwa ujanja ujanja, kama unabisha ntamwaga kila kitu hapa mzee
Duuuh nlitaka niende nmeahirisha aiseeYaani nawajua in and out
Niliwahi kufika pale, nilimpeleka jamaa yangu ni mwalimu, kwa kipindi kile alikua hajapata ajira ndo akaniambia nimpe kampani akawaone wajamaa wa teachers junction, walimsumbua sana jamaa yangu maana nilikua naishi nae home kwetu kwa hiyo kila hatua aliyokua anapitia jamaa niliijua.
Mwanajf ambae hatazingatia ushauri wangu basi asijekulalamika hapa akitapeliwa.
[emoji23] [emoji23]Mkuu umenikumbusha mbali sana,, mi pia huo huo mwaka 2014 nilienda hapo kwa jamaa nchama migo nilitoa elf 10 Ada halafu nikapigwa msasa kama wiki ivi nah, ili nifundishe mathematics o level shule moja private lakin
Nilichokiona ni ubabaishaji tu kwenye hizo shule tulizoenda yani wanakuwa kama hawakutambui ivi halafu hawaonyeshi shida ya kutaka walimu,sasa baada ya hapo ukikosa nafasi hiyo ukirudi kwa jamaa nchama anakupotezea kabisa..Na elf10 yako ndio imeondoka dah nikaamua kufanya mambo mengine... Kwa iyo nami nawaasa mtakao enda hapo mjue haya na mishahara si kweli kama anavodai unaweza kwenda kukuta hali tofauti na bwana nchama alivokwambia. Ova
Usithubutuu wale wanakutapeli wakiwa na sura ya kijasiri kabisa, nawajua vemaaaDuuuh nlitaka niende nmeahirisha aisee
Mwaga tu kaka manake wameona kuwafanya watu wajinga kwa kutafuta njama zinazofanana na ukwel ili kuwapata wat kilahisi na kuchukua pesa kiurain,kwan wao hawan ndugu zao wawachukue ndo wafanye kaz ili tuone mwelekeo achen wiziiiWapuuzi mnataka watu waende teachers junction hamna lolote,
Hawa teachers junction wanachofanya ni kuhakikisha kila anayefika kwao anajisajili na kutoa ada kama 10,000 TZS kisha wanampotezea, sasa kwa kawaida nafasi kama hii watajitokeza watu hata 50 na wote watatoa ada ya kujisajili.
Mwanajamii forums kua makini na teachers junction, ukiamua kutafuta shule tafuta kivyako usiende kwa hawa jamaa utapoteza muda na pesa ya ada na nauli za kila siku.
Nawajua vema hawa jamaa hunidanganyi kitu kiongozi wao anaitwa Nchama jamaa flani mfupi ana mwili mdogo mdogo, nje ya ofisi yao kuna gari kubwa (basi) limepaki la miaka mingi sidhani kama lilishatoka, ni karibu na kituo cha polisi Magomeni.
Nilifika pale 2014.
Nakushauri Mr. Nchama tafuta kazi nyingine awamu hii hakuna kuishi kwa ujanja ujanja, kama unabisha ntamwaga kila kitu hapa mzee
Wanajuan ndo maan wakapewa na nafasi kama hiyoWale ni matapeli mkuu tena utashangaa mamlaka zetu haziko serious zimewapa leseni na vibari vyote
Eti kujarib bahat!nenda ukajitie nuksi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Watu ni matapeli wa kutupwa huyu Nchama hajawahi hata kusoma ethics za ualimu eti anaendesha usaili wa walimu huu si uchizi jamani[emoji23]
Hizo nafasi kwanza hazipo huyo anatafuta kupata ada za watu tu.
Maajabu ya jf bado kuna watu wataenda kwa Nchama[emoji23] [emoji23]
Tanzania imefikia kubaya watu wanasumbua watanzania wenzao ili kupata pesa, Wale hawana loloteMwaga tu kaka manake wameona kuwafanya watu wajinga kwa kutafuta njama zinazofanana na ukwel ili kuwapata wat kilahisi na kuchukua pesa kiurain,kwan wao hawan ndugu zao wawachukue ndo wafanye kaz ili tuone mwelekeo achen wiziii