Nafasi za kazi Tabora

Nafasi za kazi Tabora

lete

New Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa1. Mtendaji wa Mtaa daraja la III Ngazi ya Mshahara TGS B (nafasi (97)

Sifa zinazotakiwa
• Awe na elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI)
• Aliyehitimu mafunzo yo Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo, Utawala, Sheria, Elimu ya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka cha Serikali za mitaa Dodoma au Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Kazi atakazofanya
• Afisa Masuuli na mtendaji Mkuu wa Serikali ya Mtaa
• Kusimamia ulinzi na usalama wa Raia na mali zao
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya mitaa
• Katibu wa mikutano wa kamati zote za Halmashauri ya Mtaa
• Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za mtaa.

Utaratibu wa Kuomba:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174,
TABORA.
Sipara Liana
Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Source; Mwananchi 6th August 2015
============
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa
2. Mtendaji wa Kijiji Daraja Ia III Ngazi ya Mshahara TGS B nafasi 13• Awe na elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI)
• Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo, Utawala, Sheria, Maendeleo ya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Kazi atakazofanya
• Afisa Masuuli na mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
• Kusimamia ulinzi na usa lama wa Raia na mali zao kuwa mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala bora katika Kijiji.
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo yo Kijiji.
• Katibu wa mikutano wa kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
• Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
• Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali.
• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya kitaalam katika Kijiji.
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
• Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika Kijiji
• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.
• Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za Kijiji Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

Utaratibu wa Kuomba:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174,
TABORA.
Sipara Liana
Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Source; Mwananchi 6th August 2015
============
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa
3. Mtendaji Kata Daraja La III TGS D nafasi 1

Sifa za kuingilia
Kuajiriwa wenye Shahada/stashahada yo Juu katika moja ya fani zifuatazo ; Utawala,Rasilimali watu,Sheria ,Elimu ya jamii, Maendeleo yo jamii,Usimamizi. wa fedha,Uchumi na mipango kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali

KAZI NA MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KATA
i. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao na kuwa mlinzi wa amani katika kata;
ii. Katibu wa kamati ya Maendeleo ya Kata
iii. Kumwakilisha Mkurugenzi wa Halmashsuri katika utekelezaji na usimamizi wa shughuli za maendeleo katika kata
iv. Kuandaa mpango kazi wa maendeleo yo kata na kuwasilisha kwa mkurugenzi wa halmashauri kupitia kwa afisa torafa
v. Mtendaji mkuu wa kata na ni kiungo cha uongozi kwa idara zote kwenye kata
vi. Mhamasishaji wa umma katika mikakati yo uzalishaji mali kuon njaa na umaskini
vii. Mratibu na msimamizi wa upangaji wa mipango shirikishi ya maendeleo ya kata
viii. Kukuza na kuhimiza uanzishwaji wa vyombo vya ushirika na" shughuli nyingine za maendeleo katika ngazi ya kata
ix. Kuandaa na kupendekeza maoni ya kutengeneza sheria ndogo na kuyawasilisha katika halmashauri ya wilaya ya mji
x. Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera sheria na kanuni

Utaratibu wa Kuomba:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174,
TABORA.
Sipara Liana
Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Source; Mwananchi 6th August 2015
============
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa
4. Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III - nafasi 10

Awe na elimu ya Kidato cha nne (IV) au Sita (VI), awe na Cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo wa fani za Utunzaji kumbukumbu.

Kazi atakazafanya:
• Kuandaa na kutunza (Maintain) utaratibu upatikanaji kumbukumbu/ nyaraka/taarifa
• Kutafuta mafaili/kumbukumbu
• Kukusanya na kuhifadhi taarifa/kumbukumbu
• Kazi hizi atazifanya kwa maelekezo ya wataalam wa kumbukumbu walio juu yako.
Utaratibu wa Kuomba:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174,
TABORA.
Sipara Liana
Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Source; Mwananchi 6th August 2015
============
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa
5. Katibu Mahsusi Daraja la III Ngazi ya Mshahara TGS B (nafasi 2)
• Awe na Elimu yo kidato cha IV au VI
• Elimu ya Kidato cha Nne (IV),
• Awe amehudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu,
• Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno BO kwa dakika moja,
• Awe amepata mafunzo ya Komputa kutoka Chuo chochote kinachotambulika na Serikali na Kupata Cheti katika Program za Windows, Microsoft Office, Internet, Email no Publisher,

MAJUKUMU
i. Kuchapa barua, taarifa no nyaraka za kawaida.
ii. Kusaidia kupokea Wageni na Kuwasaili shido zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa,
iii. Kusaidia kutunza kumbukumbul taarifa za matukio, miadi, Wageni, tarehe za vikoo safari za Mkuu wake no ratiba yo kazi zingine zilizopagwa kutekelezwa katika Ofisi anayofanyia kazi no kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
iv. Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo Ofisini.
v. Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa Wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu tarifa zozote atakazokuwa amepewa na wasaidizi hao. '
vi. Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maafisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohuslka.
vii. Kutekeleza kazi zote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi.
Utaratibu wa Kuomba:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174,
TABORA.
Sipara Liana
Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Source; Mwananchi 6th August 2015
============
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa
6. Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Care Assistant) - TGS B Nafasi 4

Sifa
Kuajiriwa waliofaulu mafunzo yo maarifa ya nyumbani (Home craft Management) au mafunzo yanayofanana na hayo, au wenye cheti cha mwaka mmoja cha mafunzo yo Ustawi wa Jamii.

Kazi na majukumu
• Kulea Watoto katika Vituo vya Kulelea Watoto Mchana
• Kutoa mafunzo kwa akina mama juu yo malezi bora ya watoto wadogo.
• Kusaidia shughuli za kinga za magonjwa ya watoto vijjijini/ sehemu au eneo la kituo.
• Kuwa kiongozi wa kituo cha kulelea watoto.
Utaratibu wa Kuomba:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174,
TABORA.
Sipara Liana
Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Source; Mwananchi 6th August 2015
============
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa
7. Fundi Sanifu Msaidizi (Umeme) Nafasi 2 TGS B

Sifa za kuajiriwa
• Awe no Elimu yo kidato cha IV
• Awe no astashahada yo ufundi umeme katika fani yo ufundi umeme kutoka kotiko chuo kinachotambuliwa no serikali

MAJUKUMU
• Kufanya matengezeno ya umeme katika Majengo yo Halmashauri
• Kukagua majengo yote ili kubaini kama kuna tatizo la kuvuja umeme
• Kufanya matengenezo ya miundo mbinu ya umeme
Utaratibu wa Kuomba:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174,
TABORA.
Sipara Liana
Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Source; Mwananchi 6th August 2015
============
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa
8. Muuguzi Daraja La II . TGHS A nafasi 1

(a) Sifa za kuajiriwa
Kuajiriwa wenye cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa no Serikali no kuandikishwa (Enrolled) no Baraza 10 Wauguzi no Wakunga Tanzania.

(b) Kazi na Majukumu
i. Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya.
ii. Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake yo kazi
iii. Kukusanya takwimu no kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi
iv. Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani. (v) Kutoa ushauri nasaha
v. Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango (vii) Kutoa huduma za uzozi no afya yo motto
vi. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya (ix) Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yoke ya kazi
vii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
Utaratibu wa Kuomba:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174,
TABORA.
Sipara Liana
Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Source; Mwananchi 6th August 2015
============
 
Shukrani Sana Kitu Kizuri Kula Na Nduguzo
Umeleta Tangazo Tushindwe Sasa Kufuata Maelekezo
 
Hapana shaka wenye sifa wataapply
 
Hivi, majina ya shortlisted Halmashauri ya Manispaa ya Tabora yameshatoka? Maana ni muda sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom