Nafasi za kazi restaurant & Bar

Nafasi za kazi restaurant & Bar

ladybutterfly

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
216
Reaction score
60
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi ya kuhudumia ( Service) na mpishi ( Chef).

Waombaji wenye uzoefu watapewa kipaumbele.
Waombaji wawe jinsia ya kike , huduma ya chakula na malazi ipo.

Wasiliana nasi kwa namba 0752808396
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom