Inaonekana ww upo kwenye ile list ya kuchakachua watu kule NBS maana unajua kinachoendelea na ni kweli watu wengi huku uswaz wana bachelor zao lakn wameachwaWewe kama unajua hujasoma course yao ngazi ya cheti inayohusiana kukusanya taarifa wanayoitoa kushirikiana na chuo cha takwimu changanyikeni usijisumbue!!!
Mkuu, usijisumbue nao hakuna cha majina wala mavi yake majinaHayo majina mmeyaona wenyewe tu?
Hapana ndugu na mimi nina bachelor ya economics and statistics asee ila nko zangu nasoma namba mtaa sema najua kinachoendelea hapo maana nlishafanya harakati flani hapo NBS ndo nkajua kinachoendelea na baada ya kujua kinachoendelea hata walipotangaza hizo kazi sikujisumbua.Inaonekana ww upo kwenye ile list ya kuchakachua watu kule NBS maana unajua kinachoendelea na ni kweli watu wengi huku uswaz wana bachelor zao lakn wameachwa