Nafasi za kazi-researchers

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Ofisi ya Taifa ya Takwimu inatangaza nafasi za kazi za muda(temporary) kwa ajili ya ukusanyaji takwimu.
Maelezo zaidi cheki attachment
 
Attachments

  • IMG-20170518-WA0063.jpg
    IMG-20170518-WA0063.jpg
    59.3 KB · Views: 72
Thanks ,vip kutuma kwa email watakubali

Kwani Wewe umeona wameweka Email address yao hapo? Heshimuni maelekezo au unadhani wao hawajui kama kuna kitu kinaitwa Email? Na mara nyingi Applications ambazo unaambiwa upeleke direct kwa njia ya Posta au Mkono huwa ni ngumu mno na interview yake nayo huwa siyo ya ki ' sport sport '.
 
nyingi ni zengwe sana yani na ukute hr wao na wafanyakazi wenzake washaandaa watu kazi kwellwel
 
Kwani Wewe umeona wameweka Email address yao hapo? Heshimuni maelekezo au unadhani wao hawajui kama kuna kitu kinaitwa Email? Na mara nyingi Applications ambazo unaambiwa upeleke direct kwa njia ya Posta au Mkono huwa ni ngumu mno na interview yake nayo huwa siyo ya ki ' sport sport '.
Hakuna lolote, wanaweka masharti magumu kwa makusudi maalum.
 
Majina yapo kwenye site yao nimedownload BT nimeshindwa kuyaweka hapa
 
Back
Top Bottom