reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Napenda kuuliza walofanya Oral interview Dodoma ya NMB, vipi washaanza kuita?
napenda kuuliza walofanya oral interview dodoma ya nmb vp washaanza kuita?
Mtumie Invisible kwa email adress hii: support@jamiiforums.com
? Mkuu uliniambia nimtumie invisible matokeo yake amekaa kimyaMAWAZO UJENZI si umtumie Moderator au Invisible ili airushe hapa jamvini!
Au una'enjoy watu wakutumie email zao humu?
? Mkuu uliniambia nimtumie invisible matokeo yake amekaa kimya
Mkubushe na wewe basi
ngoja nimkumbushe mkuu.? Mkuu uliniambia nimtumie invisible matokeo yake amekaa kimya
Mkubushe na wewe basi
Mkuu naomba nitumie gomicmville@yahoo.co.uk
kwa ninavofaham nmb wakitoa post za kazi ni almost zone zote,kwa sasa dar washafanya intervw,central zone tayar cjajua zone nyingine,ila kama uko karib na bank ya nmb tembelea hua wanabandika ofcn kwao
Wadau naleta kwenu
Uzi
Mwenye kujua ni chance zipi,vigezo na mwisho wa kutuma maombi ni lini!!
Maana hawa jamaa nao washaanza ujinga!! Hawatangazi kwenye magazeti!!!!
Wanazitoa kimya kimya!!
-------------------