Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

Duh!! Kazi ipo.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Bank tellers utume certified copies pamoja na provisional results signed application letter n cv deadline ni tar 21 mwez huu

wanataka kiwango gani cha elimu?
 
Bank tellers utume certified
copies pamoja na provisional results signed application letter n cv
deadline ni tar 21 mwez huu

pia western zone wametoa vigezo n hvyo hvyo na deadline ni 21
 
Wadau naleta kwenu Uzi
Mwenye kujua ni chance zipi,vigezo na mwisho wa kutuma maombi ni lini!! Maana hawa jamaa nao washaanza ujinga!! Hawatangazi kwenye magazeti!!!!
Wanazitoa kimya kimya!!

nitumie na mim, barakajames33@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom