Nafasi za kazi NBS

Watafiti wengi hupenda kutumia statistical package kuanlyze data zao kama SPSS au STAA.. R. na nyinginezo excel is for layman's.


Mara nyingi ni vyema kutumia excel kutunza data ili iwe rahis kuhamishia kwenye SPSS, Itakusaidia hata kwenye kufanya editing ya data zako, kuliko kuanzia directly kwenye SPSS
 
jaman alie fungua hilo tangazo anisaidie mbona Mimi silipati
 
Hilo swala la kusoma kwenye Chuo chao ndo upate kazi na Chuo chenyewe hakina hata matawi ( branches) ni ubabaishaji. Kama ni hivyo wafanyie takwimu zao dar es salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wametegeshea coz wanajua fika watoto wao ndio waliofanikiwa kusoma hiyo coz, ili waendelee kuwabeba kwa kuwa wanavigezo, sasa ni kwa nini hiyo coz wasiilete huku mikoani kuwepo na kituo cha kutolea hayo mafunzo ili watoto wa maskini wasihangaike kwenda dar ambako gharama ya maisha ni kubwa ukizingatia mtu hana ndugu aishi wapi akiwa hapo chuoni, nikisema hizo nafasi ziko kwa watoto wao wanasema acha maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…