uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
- Thread starter
-
- #61
That's right mdau nimeona kwenye website yao ,sasa najiuliza ina maana waliosoma takwimu vyuo vingine tofauti na Chuo chao hawahusishwi??? Na wanawekwa upande UPI???Lazima uwe na angalau elimu ya cheti ch
a ukusanyaji takwimu rasmi(official statistics) kutoka chuo cha takwimu Changanyikeni vinginevyo usijisumbue.Wako strict sana na wanadai hiyo ni kwa mujibu wa sheria mpya ya takwimu ya mwaka 2015.Ahsante.
Evening progremme au full time mkuuwanamaanisha cheti cha data collection kinatolewa chuo cha takwimu kwa miezi miwili,ada yake ni 450,000 na application ni 30,000 so andaa kama 480,000,ukisoma hiyo utakuwa na uhakika wa kazi kwakuwa wanavikazi vingi vingi so vijimilioni milioni hutovikosa
full time
Wewe ndo huelewi kila mkoa unatoa tangazo lake na maeneo ya kufanyia takwimu maombi unatuma kwenye sanduku la ofisi ya takwimu mkoaHilo tangazo la nbs halieleweki maombi unatuma wapi et kila mkoa wanatum kwa ofic ya takwim
Hata kama una degree ya takwimu kutoka chuo kingine ni lazima ukasome changanyikeni kwanza.Nadhani kuna makubaliano fulani yasiyo rasmi wameingia na kile chuo ili kukitangaza.That's right mdau nimeona kwenye website yao ,sasa najiuliza ina maana waliosoma takwimu vyuo vingine tofauti na Chuo chao hawahusishwi??? Na wanawekwa upande UPI???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa muhengaYaani, hutu tuvijana twa zoom na dot.com ni majanga.
Jamani, nipo mkoa wa mara, je mkoa huu takwimu zinafanyika katika maeneo yapi?, nisaidieni kujua ili nirushe ndoano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenye maeneo mkuu, bunda haipo? Naona ni serengeti na tarime tu.
Sijajua mkuu nimeileta nilivyoipokeaHuko kwenye maeneo mkuu, bunda haipo? Naona ni serengeti na tarime tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mkoa nchi hii utafanya huu.Wakuuu mnisaidie natokea Tabora je mkoa huu upo ndani ya mikoa inayofanyiwa utafit na NBS naitaji kutuma maombi nisaidien
Sent using Jamii Forums mobile app
Watawatoa wapi watu wote waliosoma chuo chao?nbs kama hujasoma short coarse yao ya statistics hela yak ww kanywee bia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kwa usumbufu mkuu naweza nikapata na maeneo ya mkoa wa mbeya