Minimum GPA ya 3.5 Undergraduate na MSc. 4.0 kuwapata Bongo nadra halafu afaulu na Interview? Kwa akili hizi za kubet? Hapo wabembelezeni wastaafu tu. Vijana shidaaaJamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.
Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc.
Kazi kuanzia 2021/22 academic year. Kutakuwa na Skype interview. Maombi yatumwe kabla ya 20/3/2021 kwa stemmucohr@stemmuco.ac.tz au info@stemmuco.ac.tz
Tfadhali sana tunaomba mtusambazie ujumbe huu kwenye magroup yenu.
Wako bhanaa...!Minimum GPA ya 3.5 Undergraduate na MSc. 4.0 kuwapata Bongo nadra halafu afaulu na Interview? Kwa akili hizi za kubet? Hapo wabembelezeni wastaafu tu. Vijana shidaaa
Chief hata kupata BA mwenye GPA 3.5 ngumu ( wapo, Japo SI wengi)Wako bhanaa...!
HuhChief hata kupata BA mwenye GPA 3.5 ngumu ( wapo, Japo SI wengi)
kuna jamaa mmoja nina mfahau tena wa huko huko Mtwara 1st degree ana GPA ya 4.0 lakini ni kilaza wa kutupwa. Jamaa alikuwa mwepesi sana kuhonga halafu kuwad wa kufa mtu.Minimum GPA ya 3.5 Undergraduate na MSc. 4.0 kuwapata Bongo nadra halafu afaulu na Interview? Kwa akili hizi za kubet? Hapo wabembelezeni wastaafu tu. Vijana shidaaa
Huyo kufundisha hakutamfaa labda Ukuwadi Promax. Kufundisha kipaji ndugu!kuna jamaa mmoja nina mfahau tena wa huko huko Mtwara 1st degree ana GPA ya 4.0 lakini ni kilaza wa kutupwa. Jamaa alikuwa mwepesi sana kuhonga halafu kuwad wa kufa mtu.
Mkuu acha kuleta uchuro wako kwenye kazi za watu,eboo!Minimum GPA ya 3.5 Undergraduate na MSc. 4.0 kuwapata Bongo nadra halafu afaulu na Interview? Kwa akili hizi za kubet? Hapo wabembelezeni wastaafu tu. Vijana shidaaa
Mkuu huyo jamaa ni boya sana...niliwahi kumsaidia sana hasa kwenye mambo ya kazi zake, akafanikiwa illa baadae kumbe ndio snitch wangu namba moja kwa Mkurugenzi wetu!!! ni fala tena fala sana huwa anaosha sana na hiyo GPA yake...sikujua masters alipiga ngapi kwa sababu nilivyojua usnitch wake ilibidii na kazi yenyewe niachane nayo as ilibakia kidogo kesi ya uhujumu uchumi iniangukie.Huyo kufundisha hakutamfaa labda Ukuwadi Promax. Kufundisha kipaji ndugu!
Wabongo tunajuana nduguMkuu acha kuleta uchuro wako kwenye kazi za watu,eboo!
Tulio soma Art Tuendelee kusubiriJamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.
Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc.
Kazi kuanzia 2021/22 academic year. Kutakuwa na Skype interview. Maombi yatumwe kabla ya 20/3/2021 kwa stemmucohr@stemmuco.ac.tz au info@stemmuco.ac.tz
Kigezo cha master's kimenitoa njeJamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.
Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc.
Kazi kuanzia 2021/22 academic year. Kutakuwa na Skype interview. Maombi yatumwe kabla ya 20/3/2021 kwa stemmucohr@stemmuco.ac.tz au info@stemmuco.ac.tz
1st degree GPA 3.2 MSc GPA 4.4 vipi mtamconsiderJamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.