Nafasi za kazi kwa wahitimu wa masters degree in Physics, Chemistry, Biology & Mathematics

Rancho Chand

Senior Member
Nov 4, 2012
151
225
Mkuu huyo jamaa ni boya sana...niliwahi kumsaidia sana hasa kwenye mambo ya kazi zake, akafanikiwa illa baadae kumbe ndio snitch wangu namba moja kwa Mkurugenzi wetu!!! ni fala tena fala sana huwa anaosha sana na hiyo GPA yake...sikujua masters alipiga ngapi kwa sababu nilivyojua usnitch wake ilibidii na kazi yenyewe niachane nayo as ilibakia kidogo kesi ya uhujumu uchumi iniangukie.
Hapa inaonekana kuna chuki ndani yake na sio ukilaza.
 

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
16,139
2,000
Hapa inaonekana kuna chuki ndani yake na sio ukilaza.
pamoja na chuki mkuu lakini jamaa ni kilaza sana. sema sheria za mtandao haziruhusu ningemtaja hapa na ninaamini kuna watu wengine waanao mjua wangekuambia.
at the beginning tulikuwa marafiki wazuri sana na nilimheshimu sana kwasababu yeye ndiye aliyenipokea kazini. Lakini baadae mambo yakawa kinyume, anakuchekea chekea lakini mwisho wa siku anaingia kikao cha siri na DED kukuchoma! iwe kwa dili halali au sio halali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom