Nafasi za kazi Jeshi la Magereza!

Asu tz

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
336
86
Habar jf?

Nafasi ndio hizooo zimetoka kwa wale wanaotaka kujiunga na jesh la magereza. Vigezo ni vile vile kama umemaliza 4m 4 na ukapata div 4 haijalish ni 4 ya ngap? Unaweza ukaomba na ukapata.

Mhh kuna huyu jamaa hapa kaletewa gazet la MWANANCH na bro wake kaambiwa angalia jesh la magereza wametoa nafas za kujiunga. Kama vp changamkia nafas hyo dogo alimjibu bro wake jbu la kijinga et c bora nikae bila kaz kuliko kwenda huko'

Duh bro kachoka haelew afanye nn ili amsaidie mdogo wake?
 
Kuna kitu anatafuta huenda akakipata,naona bora kukaa na baiskeli yenye pancha kuliko huyo dogo. Inabidi anayeishi nae ampatie ushauri kwanza,atakula sembe hapo mpaka atakapo oa au kuwa na maisha yake.
 
Ana division au elimu gani kwanza huyo dogo? Halafu hii dharau ya madogo siku hizi itawapeleka kubaya na vichwani hanma kitu.
 
Habar jf?

Nafasi ndio hizooo zimetoka kwa wale wanaotaka kujiunga na jesh la magereza. Vigezo ni vile vile kama umemaliza 4m 4 na ukapata div 4 haijalish ni 4 ya ngap? Unaweza ukaomba na ukapata.

Mhh kuna huyu jamaa hapa kaletewa gazet la MWANANCH na bro wake kaambiwa angalia jesh la magereza wametoa nafas za kujiunga. Kama vp changamkia nafas hyo dogo alimjibu bro wake jbu la kijinga et c bora nikae bila kaz kuliko kwenda huko'

Duh bro kachoka haelew afanye nn ili amsaidie mdogo wake?

Ni kweli nimeona matangazo yao na wanachukua div 4 ya kuanzia 26 hadi 33!!!!

Baada ya kufuatilia nikagundua hizo ajira zimekaa kiLusinde Lusinde yaani baba mjeshi - mtoto mjeshi. Kama hujanielewa ni kama wanataka kuwasaidia watoto wao ajira maana wengi wao hawaperfom vizuri hivyo kipaumbele kitakuwa kwao!!!

Zipo nafasi nyingine za watu wenye shule yao lakini wao watapitia Makao Makuu ya Magereza kwa mujibu wa matangazo yao ambayo yapo karibu ofisi zote za mikoa na maeneo yanayozunguka Magereza.
 
Kuna kitu anatafuta huenda akakipata,naona bora kukaa na baiskeli yenye pancha kuliko huyo dogo. Inabidi anayeishi nae ampatie ushauri kwanza,atakula sembe hapo mpaka atakapo oa au kuwa na maisha yake.

Hv ni kwanin vijana weng hatak kabisaaa kujiunga na jesh la magereza? Wanasema et ni kupoteza muda wako ni ya kwl haya or?
 
kuna usemi kwamba,askari jela nae ni sawa na mfungwa tu coz muda mwingi nae yuko gerezani akiwalinda wafungwa.over
 
Senetor

Co kwl ile ni kaz kama kaz nyngine vile.
Sema tatizo liko wapi mpaka vijana kukataa kwenda hawapat muda wa kujiachia or?
 
wadau kwa wenye tangazo la kujiunga na jeshi la magereza kwa elimu ya chuo kikuu it means professional ebu atupie nilisome. naomba plz wadau tusaidiane kwa hilo
 
Tembelea ofisi za magereza zilizo karbu nawe utapata mainfo yote
 
Jamani mimi nahitaji sana kujiunga na Jeshi la Magereza!
Naomba nipewe info contacts zao ili nitinge moja kwa moja!
Msaada plz...
 
Tembelea gereza lilo karbu yako na umuone mkuu wa gereza
Atakupa info zote.
 
nimenunua gazeti la Mwananchi la Leo na jana,lakini sijaona tangazo lolote kuhusu ajira huko Magereza.
Sasa si naweza kwenda nikaulizwa chanzo cha habari? Na kwa mimi ninakaa Mbezi Mwisho,natakiwa niende gereza lipi au nikienda makao makuu naweza kupata info zote?
 
Tafuta gazet la mwananch la jumatano mkuu.
 
Hv ni kweli kwamba wanao hitajika magereza ni walio maliza kidato cha nne kuanzia 2009 kwenda mbele tu na wala sio wengine.
 
Senetor

Co kwl ile ni kaz kama kaz nyngine vile.
Sema tatizo liko wapi mpaka vijana kukataa kwenda hawapat muda wa kujiachia or?

magereza mengi yapo bush na nyumba za askari utakuta ni za tembe halafu hazina umeme wala sakafu, ni risk kuwa askari magereza c'se kumlinda jambazi sugu au muuaji ni hatari sana hawa wanaweza kufanya lolote lile, wenzako wanaweza kukuchezea faulo kumtorosha mfungwa siku ambayo wewe utakuwa on duty.. kwa sheria za jela unakuwa umepoteza ajira yako na unaweza kuingia jela kumreplace aliyetoroka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom