Nafasi za kazi Jeshi la Magereza!

Hv ni kweli kwamba wanao hitajika magereza ni walio maliza kidato cha nne kuanzia 2009 kwenda mbele tu na wala sio wengine.

Ni kwel wanahitaj waliomaliza 4m 4 kuanzia 09 hadi 11.

Kama vp tembelea office za magereza zilizokarbu nawe.
 
Tangazo nimeliona pia Ofisi za Wenyeviti Serikali za Mitaa,na kuna namba fulani zimewekwa,kwa hiyo piteni na huko mpate details...
 
Tangazo nimeliona pia Ofisi za Wenyeviti Serikali za Mitaa,na kuna namba fulani zimewekwa,kwa hiyo piteni na huko mpate details...

umelisoma vizuri linataka sifa zipi na hatua zipi zifuatwe? Msaada mkuu.
 
Jamani mimi nahitaji sana kujiunga na Jeshi la Magereza!
Naomba nipewe info contacts zao ili nitinge moja kwa moja!
Msaada plz...

Andika barua ya maombi ya kazi kwa:- kamishina generali wa magereza box 9190 Dar. Ambatanisha vivuli vya vyeti vyako kama wewe una taaluma yoyote, na kama ni 4m 4 pitisha maombi yako kwa mkuu wa magereza wa mkoa uliopo, viambatanisho muhimu ni vyeti vyako vya shule,cheti cha kuzaliwa, au affidavit,na picha 1 pps ya karibuni. Maombi yafike kabla ya tarehe 30 April 2012
 
umr 18 to 25 kwa form 4 and 18 to 33 4 profsnals, uref inch 5.4 kwa wanawake and mor inch kwa wanaume, taaluma za kushona, e.t.c
 
Andika barua ya maombi ya kazi kwa:- kamishina generali wa magereza box 9190 Dar. Ambatanisha vivuli vya vyeti vyako kama wewe una taaluma yoyote, na kama ni 4m 4 pitisha maombi yako kwa mkuu wa magereza wa mkoa uliopo, viambatanisho muhimu ni vyeti vyako vya shule,cheti cha kuzaliwa, au affidavit,na picha 1 pps ya karibuni. Maombi yafike kabla ya tarehe 30 April 2012

thanx mkuu,nimefanya utaratibu wote,na fomu wamechukua,pia vipimo nimefanya vya urefu,nina ft 5 inch 6,cjui ntapita! Na tutapataje info za usaili,au what next....
 
Ni kweli nimeona matangazo yao na wanachukua div 4 ya kuanzia 26 hadi 33!!!!

Baada ya kufuatilia nikagundua hizo ajira zimekaa kiLusinde Lusinde yaani baba mjeshi - mtoto mjeshi. Kama hujanielewa ni kama wanataka kuwasaidia watoto wao ajira maana wengi wao hawaperfom vizuri hivyo kipaumbele kitakuwa kwao!!!

Zipo nafasi nyingine za watu wenye shule yao lakini wao watapitia Makao Makuu ya Magereza kwa mujibu wa matangazo yao ambayo yapo karibu ofisi zote za mikoa na maeneo yanayozunguka Magereza.

nmeipenda mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom