Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

Nimeweka update kwa wanahitaji nafasi Mwanza, intake inaanza tarehe 3 mpaka 10 January 2024
 
Hivi inawezekana nikaomba kazi lakini nikaomba kituo nje ya nchi?
Nenda kaombe hiyo hiyo nchi unayotaka kufanya kazi, ila planning na kujiandaa ni muhimu, cha msingi fanya research ya vigezo vinavyohitajika kwa security officers kwenye nchi husika, Licence/passport/visa/work permit vyote ni muhimu.
 
Broo nataka kumsendi mdogo wangu juma tatu aje vigezo vyote anavyo but naomba unieleweshe hapo je, anaweza kuja na barua ya wadhamini walioko nje ya mwanza au mpaka apate wadhamini wote kutoka hapo hapo mwanza? Maana yeye si mkazi Wa mwanza
Njoo pm nipo tayari kukupa accomodation na kuwa.mdhami lakini gharama hizo utalipia,kama uko tayari njoo pm.Niko kamanga ferry nawaona vijana wanapeleka barua.
 
Mkuu hii intake mpya nikiombea kwenye ofisi zenu Dar usaili si utakuwa hapo hapo dar au hadi niende mwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom