Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

Kilimanjaro mpk mwanza nauli ni kama 50+ kwenda na kurudi ni kama 100+
guest ni kama 15 *4=60
chakula 5*4=20
ziada 50
jumla ni laki 2 na 30+
alafu ukalipwe kaki na nusu
Huna shida ya kazi wewe?!!! Hao wanao hudhuria kila mala usahili wa dar, kwenye nafasi za kazi za serikalini, tena nafasi 15,wanakuja watu 300,huwa hawayaoni hayo?? Afadhari hata hii kuna uwezekano wa kupata ni mkubwa kuliko hizo nafasi za serikalini!?? Sass mambo yalivyo magumu graduate anatafuta hata kazi ya laki 2 haipati!!
 
***Update*****

Intake mpya inaendelea mpaka 31 July, 2020 Karibuni.
 
View attachment 1329741

UPDATE: INTAKE MPYA APRIL 2021 INAENDELEA

Kampuni ya ulinzi ya GardaWorld Security. Yenye ofisi yake Capripoint mbele kidogo na Kamanga Fery Mwanza na ofisi kuu Mikocheni B Dar es Salaam, Inatangaza nafasi ya kazi Ya ulinzi.

VIGEZO

  1. Elimu: Kidato cha nne na kuendelea.
  2. Uwezo wa kusoma, kuandika na kuongea kiingereza.
  3. Umri wa miaka 23 - 42
  4. Urefu futi 5.7 na kuendelea (kwa wanaume)
  5. Afya njema
  6. Asiwe na makosa yeoyote ya jinai
  7. Awe tayari Kazi Mkoa wowote wa Tanzania.
HATUA
  • Mwombaji Afike na barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono na mwombaji kwa kiingereza
  • Nakala za vyeti na vyeti halisi, cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo.
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
  • Barua za wadhamini wawili (zipiigwe muhuri kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa juu ya picha na Wasiwe walinzi au wanafunzi).
  • Mdhamini awe na kitambulisho halali.
  • Mwombaji awe na picha 5 za pasipoti zilizopigwa hivi karibuni
  • Mwombaji awe tayari kwa mahojiano na usaili.

Usaili utafanyika , Ofisini kwetu Capripoint Mwanza kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni.

Epuka matapeli, Hakuna rushwa ni vigezo tu vinazingatiwa.


UPDATE:

INTAKE MPYA APRIL 2021 INAENDELEA
WAOMBAJI WENYE VIGEZO WANAKARIBISHWA

KUMBUKA, TARATIBU ZOTE NI BURE HIVYO EPUKA MATAPELI.View attachment 1193183

View attachment 1329745
Na wadada tunaomba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom