Nafasi ya kazi ya uhifadhi wa kumbukumbu za bidhaa

baruthyjr

Member
May 25, 2023
7
7
UPSCALE SHOP MIKOCHENI iliyopo DAR ES SALAAM inawatangazia nafasi ya kazi UHIFADHI WA KUMBUKUMBU ZA BIDHAA (DATA ENTRY RECORDS).

SIFA YA MWOMBAJI
* Awe amehitimu elimu ngazi ya DIPLOMA/DEGREE.

* Awe na ufahamu mzuri wa matumizi ya Computer na programs (INFORMATION TECHNOLOGY)

* Awe na ujuzi angalau wa miaka miwili katika kazi husika.

* Jinsia ya kiume umri kuanzia miaka 20 hadi 40.

MAWASILIANO PIGA NAMBA
+255 716 223 538
+255 766 867 750
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom