Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

Mkuu nafasi za kazi bado zipo, vip kwa watu wa dsm, tunawezakunufaika na hii nafasi

Majibu tafadhar
 
Updates...


Intake mpya ni kuanzia tarehe 3 mwezi December mpaka tarehe 12 mwezi December, kwa wenye vigezo vya awali mnakaribishwa kwa usahili.
Wewe unacheo gani kwenye kampuni ya mabeberu?
 
UPDATE INTAKE MPYA 2020 INAENDELEA TAREHE 27-31 JAN 2020
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom