Nafasi za kazi CRDB BANK

mkuu ni kweli ila mm nina GPA ya 3.9,na mpaka sasa nina kauzoefu kidogo katika taasisi za pesa sasa sijui wanaweza kunifikiria ila kiukweli hata km nafasi zipo hawatangazi yaani ni kimyakimya!
 
Ndiyo nafanya mkuu katika financial institution fulani hapa nchini:drama:
 
kama hujui crdb haupeleki cv bali unapigiwa simu upeleke cv hapo ushapata jibu mpaka umjue mtu au chuo ulichosoma kipeleke jina kwa hr ndo unaitwa kwa interview otherwise sahau kuhusu kazi pale.
 
Hiyo hoja ya kujuana inatokana na kutokujiamini zaidi kuliko hali halisi. Mimi nina rafiki zangu watano wamemaliza chuo mwaka jana sasa hivi wameajiriwa CRDB na hakuna hata mmoja aliekua anamjua mtu.

Kama una Upper Second peleka application zako pale Azikiwe 4th floor, hata juzi tuu walikua wanahitaji watu. Huwa hawatangazi kazi, wanachukua watu walioshaaply au wanatumia career center ya udsm!

All the best.
 
mkuu hiyo GPA wanasema tu ila nikuambie kitu kuna watu wana pass na wanapiga kazi kuna form six wanapiga kazi. kama ulikuwa huijui hiyo chukua.
Naamini matokeo sio uchapakazi, unaweza ukawa na matokeo mabaya ya shule kwenye kazi ukawa unabeba ufanya kazi bora na ukawa na matokeo mazuri ya shuleni kwenye uchapakazi ukawa wa mwisho.
 
CRDB hawatangazi kazi nje. Kama huna mtu ndani kule imekula kwako. Masharti ni kumjua mtu kule ndani...period
 

kha! kama ni TA vile
 
Mkurugenzi mwenyewe ana pass class halafu anataka wenye upper second kama sio utaahira kitu gani
 
Asante sana ndugu zangu,kuna mtu ndani ya CRDB bank anasema perfomance ktk vyeti inamata sana.Vp hapo?

CRDB lazima uwe na kigogo ndani lasivo hata uwe na first class ya UDSM hupati ng'o
 
hakuna cha gpa wala nn swalauwe na mtu wa kukushika mkon:angry:
 
Oya we mleta mada,kuna tangazo limetoka pale udbs-udsm linasema wale wote wanaotaka kufanya intern crdb bank watume maombi yao kwenye e-mail hii career@udbs.co.tz.sifa wanazotaka ni uwe umemalza chuo mwaka huu,usiwe umesoma chuo kingine tofauti na udsm,gpa atleast iwe 3.5 and above,uwe umesoma kozi zifuatazo bcom,economics,statistics au computer science..na mwisho uwe tayari kupangwa kwenye moja ya branches zao zilizopo katika haya maeneo arusha,dar,mbeya,geita,bagamoyo,ifakara,morogoro,shinyanga,songea,bukoba,njombe,babati,sumbawanga,musoma,kigoma,tabora na singida.mwisho wa kupokea maombi ni 10/07/2013 saa 9 kamili alasiri.kwa maelezo zaidi nitafute.
 

Na mimi 'kuna jamaa nawajua' walipata kazi hapo CRDB bila magumashi wala kufahamiana na yoyote, wawili ni maafisa benki Mwanjelwa na mmoja ni mtaalamu wa TEHAMA pale Makao Makuu Azikiwe.
 

Huwa wana mtindo wa kurecruite watu moja kwa moja kutoka vyuoni bila kutangaza, kufilisika ni ngumu maana ndio benki inayoongoza kwa kila kitu nchini, namaanisha kila kitu.
 
Jaman, tuPen full advertized chances na deadline coz wengne simu zetu wengne hazina uwezo wa ku-access link moja kwa moja
 
mkuu hiyo GPA wanasema tu ila nikuambie kitu kuna watu wana pass na wanapiga kazi kuna form six wanapiga kazi. kama ulikuwa huijui hiyo chukua.

Hiyo itakua ile system inaitwa 'kamlete' aisee
 
kha! kama ni TA vile

Ndo hapo naposhangaa jamaa mmoja alitakaga field akambiwa hivyo ila wametoa internship deadline 10th July GPA 3.5 ila mleta mada ana 3.9 sasa sijui keshaa apply
 
Jaman, tuPen full advertized chances na deadline coz wengne simu zetu wengne hazina uwezo wa ku-access link moja kwa moja

Wewe jamaa kadondoshe CV huko crdb azikiwe ila uwe umegraduate mwaka huu mkuu achana na info kamili peleka dude hilo
 
Chezea Kimei eeeh full uchaga na ukristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…