Kwani ukioa mchaga hupati?kuwa mchaga
Naamini matokeo sio uchapakazi, unaweza ukawa na matokeo mabaya ya shule kwenye kazi ukawa unabeba ufanya kazi bora na ukawa na matokeo mazuri ya shuleni kwenye uchapakazi ukawa wa mwisho.mkuu hiyo GPA wanasema tu ila nikuambie kitu kuna watu wana pass na wanapiga kazi kuna form six wanapiga kazi. kama ulikuwa huijui hiyo chukua.
Mkuu GPA inabidi iwe Upper Second preferebly 3.8 hii nilisikia mwenyewe kwa masikio yangu branch ya mnazi mmoja opp na access bank kama nimepatia jina owkei...sema design hiyo conversation niliyo i over head ni kama jamaa alikua anampigia pande mtu..so nikaconclude kwamba kujuana kupo..!!! kama vipi twenzetu bank zingine tu mkuu...!!!!!
Asante sana ndugu zangu,kuna mtu ndani ya CRDB bank anasema perfomance ktk vyeti inamata sana.Vp hapo?
hapana wakuu mmenda mbali sanaa bora CRDB bank kuliko NMB na NBC
Kama huna wa kukushika mkono pale bora utafute kazi kwingine,swala la vigezo sio shida cha muhimu uwe na mtu anayekufahamu sababu kuna jamaa namjua kapata kazi CRDB post ya assistant accountant wakati yeye ana advanced diploma in information technology..Kazi ni kwako
Hata mimi nilishatamani na mpk sasa natamani,na nilishawahi kujiuliza na kuuliza hapa,iweje daily ukiingia crdb unaona faces mpya bt sijawahi ona tangazo la kazi hata moja?nway acha waibiane mpk ije ifilisike maana ndio wanachofanyaga watu wa kujuana,aah ngoja nichukue hiki si najua fulani yupo sitafukuzwa bana
mkuu hiyo GPA wanasema tu ila nikuambie kitu kuna watu wana pass na wanapiga kazi kuna form six wanapiga kazi. kama ulikuwa huijui hiyo chukua.
kha! kama ni TA vile
Jaman, tuPen full advertized chances na deadline coz wengne simu zetu wengne hazina uwezo wa ku-access link moja kwa moja