Chezea Kimei eeeh full uchaga na ukristo
siku hizi wanachukulia chuo moja kwa moja,me nna bro wangu alimaliza ifm sasa hv anafanyakazi hapo crdb na wala hajapeleka maombi hila waliandikwa majina wakati wapo chuo mwaka wa mwisho hapo ifm na hata serikalini wameanzisha hii tabia kama ulisikia hata polisi mwaka jana walichukua waliyotoka shule moja kwa moja.jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
siku hizi wanachukulia chuo moja kwa moja,me nna bro wangu alimaliza ifm sasa hv anafanyakazi hapo crdb na wala hajapeleka maombi hila waliandikwa majina wakati wapo chuo mwaka wa mwisho hapo ifm na hata serikalini wameanzisha hii tabia kama ulisikia hata polisi mwaka jana walichukua waliyotoka shule moja kwa moja.
mi hii habari ya kuajiriwa mie nimeishaiacha,kwa sasa mimi nasema na credit officers tu.
Kama kuna credit/loan officer humu ndani naomba nitumie private message ili tuonge dili za kazi naamini nawe utafaidika sana ndugu yangu.Mie ni valuation surveyor kwa profession.
Huku ndio kujiajiri wanajamvi.
PLEASE CREDIT/LOAN OFFICERS mlioko kwenye banks mbalimbali
Dah! Nina G.P.A 4.0 but nimemaliza diploma mwaka huu june 29 (Diploma in Accountancy-T.I.A), Sijui hata kama nikiaply nitapata?