Nafasi za JKT

Nafasi za JKT

Ana elimu gani?? Kule ukiwa na vigezo na vyeti vizuri fasta tu ukai sana

We elimu co sababu kuna wanangu six wametoboa mmoja juz kat apa ndo ksondoka kaenda uhamiaji kaja kufanya mipango mtaani but kule katoboa tena co peke yake ni kibao tuuuu
 
Mbona hili tangazo lipo kwenye website yao JKT, au wanafanya utani?

Wanafanya utaniii??????acha masiala bana jeshi wafanye utani???aaah hapo ndo wameshaamua hivyoo aisee lile ni jeshi na si the commedy crew bana
 
Wanafanya utaniii??????acha masiala bana jeshi wafanye utani???aaah hapo ndo wameshaamua hivyoo aisee lile ni jeshi na si the commedy crew bana

Nilikua namjibu jamaa pale juu anayesema "hii habari haina ukweli wowote".
 
Jamn wadau hayo mafunzo ni kwa muda gani na utaratibu inakuaje kwa wenye nia ya kujiunga?
 
Ni bora uwe mmachinga wa kutembeza bidhaa kuliko kwenda mafunzo ya jkt miaka 2......wengine wameandamana leo hii kushinikiza jeshi liwaajiri

Kujitolea miaka miwili nabado ajira usotee, na ktk kusotea unaweza kupata au kukosa, ewe Mungu tuhurumie waja wako
 
JKT! JKT! JKT! JKT! JKT!
serikali iwaangalie sana hawa vjana kwa kuwapa ajira mbalmbal katka sekta zao
 
Back
Top Bottom