Nafasi za JKT

Thursday, 18 December 2014 00:00
Mwongozo kwa
wanaotaka kujiunga
na JKT
font size Print Email
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa atoa
tangazo kwa vijana wote wanaotaka
kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga
taifa kwa utaratibu wa kujitolea mwaka
2015.
Utaratibu utakuwa kama ifuatavyo: Barua
za maelekezo zitatumwa mikoani Februari
2015, mchakato wa kuchagua vijana
wilayani na mikoani (machi hadi aprili
2015), timu za usaili toka makao makuu ya
JKT zitakuwa mikoani Mei 2015 na vijana
waliochaguliwa kuripoti vikosini Juni 2015.
Limetolewa angalizo kwa vijana, wazazi/
walezi kuepuka kudanganywa na matapeli
wanaojihusisha na uuzaji wa fomu bandia
za kujiunga na jeshi la kujenga taifa.
Fomu zinazotolewa sasa ni batili, Jeshi la
Kujenga Taifa halitatambua usaili wowote
utakaofanyika kinyume na utaratibu
ulioainishwa.
tangazo hili limetolewa na jeshi la kujenga
taifa makao makuu
 
Mbona utaratibu umebadilika? mwaka huu ilikuwa mwezi march ndio vijana walilipoti kambini kuanza mafunzo ila mwaka ujao itakuwa mwezi june!
 
Thursday, 18 December 2014 00:00
Mwongozo kwa
wanaotaka kujiunga
na JKT
font size Print Email
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa atoa
tangazo kwa vijana wote wanaotaka
kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga
taifa kwa utaratibu wa kujitolea mwaka
2015.
Utaratibu utakuwa kama ifuatavyo: Barua
za maelekezo zitatumwa mikoani Februari
2015, mchakato wa kuchagua vijana
wilayani na mikoani (machi hadi aprili
2015), timu za usaili toka makao makuu ya
JKT zitakuwa mikoani Mei 2015 na vijana
waliochaguliwa kuripoti vikosini Juni 2015.
Limetolewa angalizo kwa vijana, wazazi/
walezi kuepuka kudanganywa na matapeli
wanaojihusisha na uuzaji wa fomu bandia
za kujiunga na jeshi la kujenga taifa.
Fomu zinazotolewa sasa ni batili, Jeshi la
Kujenga Taifa halitatambua usaili wowote
utakaofanyika kinyume na utaratibu
ulioainishwa.
tangazo hili limetolewa na jeshi la kujenga
taifa makao makuu

mkuu hizi habar umezitoa wap mbona ktk web yao hawajaeka? au upo internl mkuu
 
yah inawezekan sabab wale wa mwak jana na wachache wa mwak juz hawaajiriwa kwa hiyo hawawez kujaza watu bila sababu..
kinachosubiriwa muda ufike warudishwe hom na watakaobahatik bas waajiriwe..
ila ukiangalia huu mwaka ni mgumu sana kwa sababu,UHAMIAJI NAFASI ZOTE WAMECHUKUA URAIANI,POLISI NAO WAMECHUKUA SANA URAIANI TENA WENGINE NDO WANARIPOT LEO MOSH.,MAGEREZA NA ZIMA MOTO NAO WAMECHUKUA URAIAN SAS WALIOBAK NI JWTZ SAS NAO SIDHAN KAM WANAHITJ WATU WENG..

UKISOMA MKATABA WA JKT HUWEZ UMIA KICHWA KULE HUJAAHIDIW AJIRA ILA AJIRA ITAKUJA KAM BAHAT TU... KUNA KIPENGELE KINASEMA: Utakapomaliza miaka miwili ya kujitolea basi huwe tayari kurudi nyumbani.
 
Jitihada gani zimefanyika hadi wakati huu kuwapa ajira za kudumu SG na Service Man ambao wamejitolea miaka yakutosha bila kujua hatma yao?
 
yah inawezekan sabab wale wa mwak jana na wachache wa mwak juz hawaajiriwa kwa hiyo hawawez kujaza watu bila sababu..
kinachosubiriwa muda ufike warudishwe hom na watakaobahatik bas waajiriwe..
ila ukiangalia huu mwaka ni mgumu sana kwa sababu,UHAMIAJI NAFASI ZOTE WAMECHUKUA URAIANI,POLISI NAO WAMECHUKUA SANA URAIANI TENA WENGINE NDO WANARIPOT LEO MOSH.,MAGEREZA NA ZIMA MOTO NAO WAMECHUKUA URAIAN SAS WALIOBAK NI JWTZ SAS NAO SIDHAN KAM WANAHITJ WATU WENG..

UKISOMA MKATABA WA JKT HUWEZ UMIA KICHWA KULE HUJAAHIDIW AJIRA ILA AJIRA ITAKUJA KAM BAHAT TU... KUNA KIPENGELE KINASEMA: Utakapomaliza miaka miwili ya kujitolea basi huwe tayari kurudi nyumbani.

Yani umesema vema sana. Ndo maana ikaitwa kujitolea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom