NdiooHivi Cheti cha walopita mujibu wanaruhusiwa kuomba?
Askari Magereza analipwa sh ngapi kwa mwezi kwa jumla mkuu?Mpo wakuu?
Watakujibu wenye ufahamu na hiloAskari Magereza analipwa sh ngapi kwa mwezi kwa jumla mkuu?
Ulipata jibu?Askari Magereza analipwa sh ngapi kwa mwezi kwa jumla mkuu?
Bado mkuuUlipata jibu?
Kaa hivyo hivyo kuna watu wanaenda hadi RTS na huko NS hawajagusa.Tafuta kazi nyingn ka mkubwa...
Majeshi huwez kupata labda uende jkt ukajitolee.
SawaKaa hivyo hivyo kuna watu wanaenda hadi RTS na huko NS hawajagusa.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hiyo itabaki kuwa ronja tena ronja ronjani,hao watu wasikie tuuEti vipi jamani Lonja za usalama wa taifa nasikia wapo mbioni wataanza beba soon tu
Wapo busy na Interview ngoja zipite salama watakuja tuMbona mmepoa huku au mpo busy na polisi
Ni poa kabisaWakuuu vp